GBBali
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 1,931
- 537
Sio kughushi vyeti.Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Sio kughushi vyeti.Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Hizo ACTIONS unamaanisha kuwa mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe hata kama ni kuingia mstuni?Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
So unataka kuaminisha watu kuwa haina maana ya kujiendeleza kielimu?Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Watani zangu wanafahamika sana kwa kupenda kusoma, lkn ukimkuta Mhaya mjinga, basi huwa ni mjinga kweli kweli...hata asome mpk wapi ujinga huwa haumtoki.Hapa kasi tu, weka mziki hatutaki maneno. Wenye vyeti kama ndo wanaoharibu akitokea mmoja hana cheti lakini akaonesha kutuvusha itabidi tukubali atuvushe. Kuna wakati wa knowledge na kuna wakati wa wisdom, ni vitu viwili tofauti na vinakidhi mahitaji mawili tofauti.
Alfajiri njema!
Chama, kabila, kujipendekezaMambo ya CV yamepitwa na wakati?
hii umeitoa wapi aisee!!! watu wataajiriwa kwa kigezo gani?
Hata ktk ufundi unakuta mtu anakipaji cha ufundi lakini hajasoma matokeo yake a nafanya makosa yakutokusoma anaacha mambo muhimu kwasababu hajui ni kwanini yanafanyika ELIMU ni muhimu sana. Usimwache ELIMU aende. Kama elimu haina umuhimu usighushi.Hayo ni maneno ya mtu ambaye hajasoma chochote, sawa na maneno ya maskini kukaa anajifariji kua wote kaburi ni moja huku ukweli uko wazi.
Mtu yeyote aliyeenda shule akachukukia serious elimu yake anajua umuhimu wa mambo yanayofundishwa shuleni. Ukienda kwa kukurupuka utaishia kuingia loss, una deal na watu smart utafunguliwa kesi uishie kulipa mabilioni kwa move moja tu ya kijinga. Mnajifanya hamuoni swala la IPTL watu wanalipwa 300million kila siku?
Usicheze na watu wanaotumia ubongo na wewe unatumia moyo, utafeli tu, chukulieni na mfano wa Zimbabwe, yule mzee anajifanya akisema yanatekelezwa bila pingamizi, oneni hali yao sasa, kununua mkate kwa bilioni. Watu ambao hamjasoma tafadhali msiwe mnatoa comment kuhusu elimu maana hamkuipata hamjui umuhimu wake zaidi ya story za vijiwezi mlizolishwa. Hakuna kitu kitaiokoa Tanzania kama elimu.
Masters in hypocrisy?Nimesoma. Nina MA/MASTERS MBILI.NA SASA NAFANYA PHD. IT IS OUT OF MY PILOT RESEARCH.
Weka vyeti vyako hapa.Nimesoma. Nina MA/MASTERS MBILI.NA SASA NAFANYA PHD. IT IS OUT OF MY PILOT RESEARCH.
Uko sahihi kabisa..... hatupigi kelele eti kisa bashite alipata zero.....kupata zero sio kosa kisheria....wala kuwa mkuu mkoa mwenye zero sio kosa kisheria.....kosa kisheria ni kughushi nyaraka za elimu yako ambazo umetumia kudanganya taasisi tofauti tofauti mpaka kufika hapo ulipo.....yaani mtuhumiwa angekuwa hajasoma kabisa na akapewa ukuu wa mkoa wala tusingehangaika naye.....bt kutumia cheti na jina la mtu mwingine that does it!!!!!Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Huu ni ulimwwengu wa ACTIONS. Siyo maneno. Mtu apimwe kwa uwajibikaji siyo cv. Mambo ya cv yamepitwa na wakati..Tubadilike.
Yohana Padlock ahahaaaaKwahiyo wewe unapinga juhudi za mtukufu rais wetu mtakatifu Yohana ma drinks youssuph padlocks ya kuhakiki vyeti? Unataka kutwambia alikurupuka?hakutafakari? Kwahiyo hata PhD yake hauithamini? Ngoja niweke vocha nimpigie Daud na sirus waje wakuite muonane katikati ndo utajua
Elimu inamuwezesha mtu kuwa na upeo mkubwa wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi sahihi. Upeo shallow ndiyo matokeo ya kukurupuka nakutajataja majina ya waharifu bila kujiuliza athari zake, na kuwaweka watu ndani kwa amri.Kukuu wa mkoa unasomewa wapi ?Cheo cha RC ni taaluma au nafasi ya kisiasa?wanasiasa wote kwanzia mwk/mtaa,diwani,mbunge,DC & RC wanapaswa kuwa na taaluma ipi?je kusoma na kuandika haitoshelezi kukidhi majukumu Yao?
I second uWatumishi waliofukuzwa warudishwe