Mtoto wa Shekhe Yahaya akiongelea Majini

Mtoto wa Shekhe Yahaya akiongelea Majini

Kuumbe,na ndio maana sijawahi kuona muislam akimsupport hata sheikh yahaya...

However,sio uislam wala ukristo unaoruhusu ushirikina,kupiga ramli wala uganga.
Katika Qur'an Maandiko yaliyoshusha ni kwamba Dhambi ambayo husamehewi ni Shirki maana yakeni ushirikina inajumuisha Waganga, wapiga ramli na uchawi wote, Ni dhambi kubwa sana. Ila kama ataacha na kutubu labda kwa Rehema zake Mwenyezi Mungu sabab Nako Kuna Maandiko aliyoyashusha kwamba Atamrehemu amtakae, sasa labda anaweza akaponea humo, kwa matakwa ya muumba mwenyewe.
 
Sijawahi kuwaona
Haimaanishi kuwa hawapo, wenyewe huwa mnasema Majini wema huwa wanaswali pia, kwamba wakisikia adhana nao hutii Na kwenda msikitini, Leo unawaruka!
 
Haimaanishi kuwa hawapo, wenyewe huwa mnasema Majini wema huwa wanaswali pia, kwamba wakisikia adhana nao hutii Na kwenda msikitini, Leo unawaruka!
Wewe uliesema tunaswali nao una ushahidi katika hilo
 
Wewe uliesema tunaswali nao una ushahidi katika hilo
Hivi vitu Ni Kama uchawi Tu, kutoviona haiondoi ukweli, Mimi Ni mhanga WA matatizo haya, najua nnachozungumza, Kama wewe hujui basi wenzio wanajua, kwani unajua kuwa Kuna majini wema Na wabaya?? (Kwa mujibu wenu)
 
Na wale mnaowatoa makanisani wanatoka wapi
 
= Majinni

Labda Yesu hakuguswa na shetani utotoni lakini alikumbwa na shetani kwa siku arubaini, sijui ilikuwa ukubwani au utotoni? Jibu wewe.

Kumbuka hilo.
Mh!! Neno "Kukumbwa" maana yake nini bibie?
 
Ameeen.
Mungu mzuri sana huyu wa kuzaliwa mazizini, ni Mfano wa mwanadamu hakika. Ndio maana tumeumbwa kwa mgano wake
Mungu hana mfano hawez fananishwa na yeyote Mungu hazaliwi..Na kabla ya kuumbwa sisi kulishakua na Adam na Eva..
 
Ameeen.
Mungu mzuri sana huyu wa kuzaliwa mazizini, ni Mfano wa mwanadamu hakika. Ndio maana tumeumbwa kwa mgano wake
...Your just a toilet papre ! Bujibuji
Asshole people.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom