Mtoto wa Shekhe Yahaya akiongelea Majini

Mtoto wa Shekhe Yahaya akiongelea Majini

nasikia kila muislam anamiliki jini?
kuna ukweli?
Jini limeingia kifuani ! precious p
Pokea upako.png
 
Uchawi ni majini na uislamu unapromote majini kwenye Qur'an kuna aya special dedicated kwa waislam inayohusu majini na wanasali nayo na wanaposali popote huyakalia mabegani ndivyo Qur'an inavyosema sasa kuja hapa na kusema hamtambui hayo mapepo maimuna maruhan zainab na mapepo mengine mnashangaza wakati mpaka mnashare majina.

Mtakubalije shehe yahaya na mwanae waongoze ibada yenu na kutambulika na uongozi wa juu kama hamumuungi mkono eti mnampinga wakati anawaongozeni.

Me nijuavyo mganga wa kienyeji ni shehe aliyeiva sababu waganga wengi ni waislam tena mashehe sijawahi kumuona mganga wa kienyeji mchungaji au askofu.
Naona nyie mnayatoa hapa ! chongchung
TB Joshua na mapepo.png
 
Katika Quran jina la Mohammad limeandikwa Mara NNE(4) tu,lakini jina la Yesu limeandikwa takribani mara ISHIRINI NA TANO(25)


Tumia jina la YESU kukemea Majini!
kajirita
Katika Qur'an kuna Surat (chapter 47) 'Muhammad' yenye aya 38.
 
Si kawaida yangu kuangalia kipindi cha nyota kinachoendeshwa na mtoto wa Marehemu Shekhe Yahaya channel ten. Lakini juzi nilivutiwa na alivyokuwa akielezea majini, jinsi wanavyoweza kukuletea pesa, jinsi ya kuwaita nk.

Lakini alipokuja kwenye mbinu ya Kuwafukuza alisema, Majini yanaweza kuuawa au kufukuzwa kwa Kuyakemea huku ukitaja jina la Yesu. Pia akasema binadamu wote wanapozaliwa huwa wanaguswa na Shetani, lakini mtoto pekee ambae hakuguswa na Shetani ni mtoto Yesu.
Kila ulimi utamkiri kuwa YESU ni Bwana
 
mnaochangia na kuonyesha misimamo yenu ya kidini kuwa ni bora kuliko dini zingine mnakosea, mkitoka kwenye dini mtaenda kwenye
ukabila, mnataka kutaambika??
soma kwanza vizuri dini yako kisha Ndipo KOSOA DINI NYINGINE, Hata ivyo hili si jukwaa la masuala ya dini, ni maoni yangu tu!
 
Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni Bwana
Ila yy na baba yake wote wanafanya kazi isiyowahusu
 
sir chief bila ya shaka utakuwa muumini wake tu, narudia kusema tena mwenye uwezo wa kujua la kesho ni MUNGU peke yake period!
Una hakika ni Mungu ndio anajua ya kesho? Unafahamu kuwa Mungu anatambua nguvu alizonazo shetani juu yetu?

Acha nikwambie, Ibilisi na Mola ni marafiki wa zamani, na mpk leo hii wanaongea. Shetani naye humuomba Mungu na anayo mamlaka juu ya watu waliomkataa Mungu.

Shetani huyu, huyu huyu Bezebul anazo nguvu, naye anazigawa kwa watumishi wake kwa namna ile Jehova anawapa karama watumishi wake. Nguvu hizo wanazozipata toka kwa shetani ndio wanazitumia kutabiri na kufanya miujiza na huo ndio ushirikina....yaani nguvu zisizotoka kwa Mungu.

Kitendo tu cha kuamini kuwepo kwa malaika, pepo wazuri na pepo wabaya ni kitendawili.
 
Ramli isiyomzuru mtu ni moja ya dini zetu za jadi ambazo zilikemea uchawi.Mbona waislamu wana albadili lakini hamuipingi?

Think critically.

Huo ni uzushi..! Uzushi uliodhahir tena ambao isnadi yake sio sahihi..na hata maulamaa hawajauthibitisha...na usio na dalili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom