...hawa jamaa wanazuga, eti hawajui majini ni ndugu zao?!, wamefanana nao kila kitu,kuanzia majina,kuishi nayo nyumba moja,n.k,Nenda kwa Shehe wako kamwambie akufafanulie
Surat Al-Jinn - - القرآن الكريم kwenye Quran
Qur-an:suratul jinn...hawa jamaa wanazuga, eti hawajui majini ni ndugu zao?!, wamefanana nao kila kitu,kuanzia majina,kuishi nayo nyumba moja,n.k,
umewahi kuona au kusikia wapi muislam akakemea pepo?!,utawezaje kumfukuza ndugu yako nyumbani!!
Fikiri!