Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Si kawaida yangu kuangalia kipindi cha nyota kinachoendeshwa na mtoto wa Marehemu Shekhe Yahaya channel ten. Lakini juzi nilivutiwa na alivyokuwa akielezea majini, jinsi wanavyoweza kukuletea pesa, jinsi ya kuwaita nk.
Lakini alipokuja kwenye mbinu ya Kuwafukuza alisema, Majini yanaweza kuuawa au kufukuzwa kwa Kuyakemea huku ukitaja jina la Yesu. Pia akasema binadamu wote wanapozaliwa huwa wanaguswa na Shetani, lakini mtoto pekee ambae hakuguswa na Shetani ni mtoto Yesu.