bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Mwemyezi mungu alimdhalilisha ili ajue na tujue ya kwamba sio nabii ila watu bado wanamuamini.Mwenye kujua la kesho ni mungu pekee, nashangaa waty wanmwamini sana TbJoshua wakati hata yeye mwenyewe kashindwa kujitabiria kuhusu ajali ya kuporoma kwa kanisa lake.