= Majinni
Labda Yesu hakuguswa na shetani utotoni lakini alikumbwa na shetani kwa siku arubaini, sijui ilikuwa ukubwani au utotoni? Jibu wewe.
Kumbuka hilo.
Duh, wewe ndio Muislamu wa kwanza kukubali kuwa Majini ni Mashetwani, Waislamu wengi hawaamini hilo, hongera mama, hauko mbali sana na Ufalme wa Mungu.