Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,427
- 7,944
sir chief bila ya shaka utakuwa muumini wake tu, narudia kusema tena mwenye uwezo wa kujua la kesho ni MUNGU peke yake period!
sio kweli, kuna mtu anaitwa clairvoyant huyu anajua kitakachotokea kesho lakini pia hio clairvoyance ni uwezo ambao hata wewe unaweza kuwa nao provided kwamba unajitambua, umeacha kufata mkumbo na umeacha kukariri.
Last edited by a moderator: