Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Una ushahidi? Mtoto wa SAMIA ana husikaje? Kama ushahidi upo kafungue kesi mahakamani,

Fullstop, kwishaaa
Mkuu umeeleza facts ila unapowaambia waende mahakaman automatically unamaanisha"wenye wivu wajinyonge" kitu ambacho sio sahihi.
Pia, ilitakuwq uheshimu nidhamu na heshima ya watz kwa viongoz wao kabla hujawapiga vijembe.
Maana hujaeleza upande wa pili wa akina Abdul wenyew wamesababishaje abdul kuchukiwa.
Otherwise Abdul kama anajielewa anatakiwa kuishi kwa Busara, akili na kusoma alama za nyakati hatakama anauhuru wa kuish atakavyo.

Mfano. Kama kunafamilia zinamuhusisha mzazi wako ktk upotevu wa maisha wa ndugu zao haijalishi ni tuhuma za uongo we unadhani wanakuchukuliaje wewe mtoto?
But all in all chuki binafsi hazifai alisema Ally Choki mzee wa farasi.
 
unamskitia ulimzaa wewe jiskitie wewe kwa sababu hauna hela na kwanza koma kumzungumzia mtoto wa rais si saiz yako saiz yako ni watoto wa buza
Ona hili bwa bwaa cjui nalo limetokea wapi!!?
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
...........inaendelea
 
Kaka uungwana kamwambie mama yake si yeye, yeye haijawahi kuja kwako kukuomba kura mkuu, kipindi cha kikwete tuliaminishwa kampuni la lake oil na gas ni la ridhiwani na kikwete mwenyewe je sasahivi umefahamu mwenye kampuni, je mlisha MuOMBA radhi ridhiwani kwa kumchafua?

Fullstop, kwishaaa
Tatizo una pwaguka kwa mihemko ya kichawa. Eti nimwambie.mama yake haambiwi? Nimekuambia kama inasemwa kuwa Kuna wizi wa raslimali za Taifa wakati mama yake akiwa ndiye Msimamizi wa raslimali hizo kwa niaba ya wananchi, mwanaye anapoonekana na ukwasi mkubwa ghafla, wananchi ambao ndio wamiliki wa raslimali hizo, wakilalamika au kuhoji Kuna kosa gani? Nijibu!
 
Lengo lako hapa aswa ni lipi private school au dulla
 
Tatizo una pwaguka kwa mihemko ya kichawa. Eti nimwambie.mama yake haambiwi? Nimekuambia kama inasemwa kuwa Kuna wizi wa raslimali za Taifa wakati mama yake akiwa ndiye Msimamizi wa raslimali hizo kwa niaba ya wananchi, mwanaye anapoonekana na ukwasi mkubwa ghafla, wananchi ambao ndio wamiliki wa raslimali hizo, wakilalamika au kuhoji Kuna kosa gani? Nijibu!
Mkuu hakuna kosa,Fahamu kuwa hata Mimi ni mtz na haki kutetea Mali ZETU ila wewe unaona ni sahihi kuanza kumfatilia kila anapo enda, akitekwa we mfatiliaji huoni kama utashukiwa?

Fullstop, kwishaaaa
 
Najua basii? cha kufanya Vua nguo panua mapaja yako nikuwekee utapata jibu sahihi

Fullstop, kwishaa
Unaona akili zako zilivyo? Post yako ni hii, "Mtoto wa Rais alambwa viatu na.mvuta bange".
 
Mkuu hakuna kosa,Fahamu kuwa hata Mimi ni mtz na haki kutetea Mali ZETU ila wewe unaona ni sahihi kuanza kumfatilia kila anapo enda, akitekwa we mfatiliaji huoni kama utashukiwa?

Fullstop, kwishaaaa
Atekwe na nani?? Kwa lipi? Atekwe anamkosoa nani? Labda kama ni kujiteka.
 
Unaona akili zako zilivyo? Post yako ni hii, "Mtoto wa Rais alambwa viatu na.mvuta bange".
Una marinda kweli wewe mbona unaniletea shobo? Umeanza nichunguza na Mimi sio?

Fullstop kwishaaa
 
A
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwiskwishaaaaaww
Ww ni matako kabisa kutetea majizi
 
pole chawa
 
Mkuu hakuna kosa,Fahamu kuwa hata Mimi ni mtz na haki kutetea Mali ZETU ila wewe unaona ni sahihi kuanza kumfatilia kila anapo enda, akitekwa we mfatiliaji huoni kama utashukiwa?

Fullstop, kwishaaaa
Ungekuwa Mtanzania na mtetezi wa raslimali za Taifa usingetoa mapovu yeye kuandamwa na wana habari. Kwani yeye ndiye peke yake mtoto wa Rais? Kwani Rais Samia ana mtoto mmoja tu? Kama anao wengine mbona wao hawaandamwi na wanahabari?

Ukiona nyuki Kawa mkali kwenye mzinga wake, basi fahamu Kuna asali.
 
Back
Top Bottom