Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Ndio maana ya msemo wa Mama yake ya ‘kula kwa urefu wa kamba yako’. Kumbe wakati anasema hayo walishaanza kujilia -mama, mtoto, watoto wa ndugu, mashosti, mstaafu na mkewe na mtoto, waarabu na wahindi wote. Tumebaki kulipa kodi huku watu wanazichota. Ila yana mwisho haya, sisi yetu macho. Na vya haramu mwisho wake huwa ni mbaya sana, sijui kwa nini hawaoni wala hawaambiliki.
 
Mkuu kwanin umehitimishw kuwa tatzo ni chuki binafsi na umaskin?

Kama hiyo issue tungeiita mgogoro mkubwa kati ya abdul(watoto wa samia) na hao wanaomchukia, Je unadhani hizo kauli zako zingeutharije huo mgogoro? Au nawew ungeunganishwa na upande mmmoja wapo?.
 
Ndio maana ya msemo wa Mama yake ya ‘kula kwa urefu wa kamba yako’. Kumbe wakati anasema hayo walishaanza kujilia -mama, mtoto, watoto wa ndugu, mashosti, mstaafu na mkewe na mtoto, waarabu na wahindi wote. Tumebaki kulipa kodi huku watu wanazichota. Ila yana mwisho haya, sisi yetu macho. Na vya haramu mwisho wake huwa ni mbaya sana, sijui kwa nini hawaoni wala hawaambiliki.
Walishapigwa upofu makusudi na Mungu
 
Fala wewe, Unaongea upuuzi, yaani sijui akili yako ipo sehemu gani ya mwili wako? Huyo kijana amesimamishwa na polisi akiingia airport akakaidi, halafu tunaambiwa tutii sheria bila shuruti. Kwa hiyo kwa akili yako Abdul yupo juu ya sheria? Ndiyo maana naona unatumia makal$$ kwenye kufikiri. Watu hawana shida na yeye kuendesha Royce Rolls, kinachoongea ni tabia za kipuuzi kama za watoto wa Saddam Hussein akina Uday na Qusay,kwani mbona viongozi wengi wamepita katika nchi yetu, lakini tumeona watoto wao hawajihusishi na ufisadi na uchezeaji wa pesa za umma, kama nchi ni yao peke yao.
Wananchi wana kila sababu ya kulalamika wakiona kuna mambo ambayo siyo ya kawaida yakiendelea kwenye nchi yetu. Hii nchi ni yetu sote na pia ina sheria na taratibu, lakini leo tunamuona dikteta anayewalipa vipesa viduchu ili muandike hapa JF. Tuongee sense, hii siyo nchi ya mfalme Samia au Malkia Samia na watoto wake na family yao, maana naona wamejisahau wanafanya vile wanavyotaka. Watu kama wewe ndiyo mnafanya nchi hii iendelee kuwa ya ovyo kupewa visenti kidogo ili mjisetiri huku matrilioni yakiibiwa halafu unaendelea kutetea.....SHAME ON YOU.
We kinacho kuuma ni nini, mtoto wa kiume? Ume muuliza sababu ya yeye kitokisimama nini aka kujibi? Inshu za kuwa mnampiha picha bila ridhaa yake na kutunga stori, unaona ni sahihi? Hayo matrilioni yanayo ibiwa we una ushahidi? Umesha ripoti kituo cha polisi? Mahakama ipo usha fungua kesi? Mkuu siasa sio unavo ifikiria wewe. Kikwete ilsemekana ni miliki wa lake oil and gas company kipindi hicho je ilikua kweli? Msha MuOMBA radhi kwa kumchafua?

Fullstop, kwishaaa
 
Mahakama ipi? Polisi ipi?
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Tatizo lililopo udaku wa magazeti ya sani, cheka na uwazi miaka ya nyuma kwa sasa unapatikana moja kwa moja mkononi kwenye simu ya kupangusa inayouzwa laki mbili mtaani. Wale wapenda udaku wamerahisishiwa namna za kuupata umbeya wa kila siku.
 
Kama unalijua Hilo kuwa mtoto wa rais hapaswi kizungumziwa kinacho wawasha nyie kuchongoa midomo yenu kwa ya kunguru nini, mnaacha kufanya kazi unaenda air port kumuangalia anaendesha gari Gani hivi akili zenu ziko sawa?

Fullstop, kwishaaa
Wewe embu acha maneno ya upuuzi. Huoni aibu unaishia kupewa hela ya soda kutetea ujinga huku wenzio wakizichota hasa. Baadhi ya Watanzania mnatuangusha sana uwezo wenu wa kufikiri, mmekalia uchawa tu kwa kupewa hela mbuzi na baskeli za kijana na pikipiki.

Kwa nini huyu kijana ana utajiri wa kutisha sasa hivi, na sio kabla ya utawala huu wa Mama yake! Kwa nini yeye ndio yuko mbele ya kila uamuzi wa serikali na si Waziri, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Usalama, etc. Yani tumefikia wakati yeye ndio kama Rais wa nchi au Waziri Mkuu. Hii ni sawa kweli? Hata JK hakufanya makosa ya wazi kiasi hiki, na tulichonga kweli wakati wake. Embu acheni bwana kutuona wajinga. Mambo yameharibika sana, na anayeambiwa haoni wala hasikii.
 
Manen
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
o yote hayo ya nini nyamaz bwana unatukera tu
 
Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana,

mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho,
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Hilo toto linajitakia lenyewe kwa kujiingiza kwenye vitendo viovu dhidi ya taifa atujawai kumsikia kwa jambo jema lolote wala la haki wala la upendo ,wala haki wala la kizalendo ...tukimsikia habari zake ni ubakaji , ufisadi ,,rushwa ,hongo ,,kutapanya pesa , mauaji nk hapo hakuna mtoto hapo ni uchafu mtupu
 
Yani watanzania hatuna akili
Aliyetuloga kafa hata kaburi lake halijulikani

Wewe embu acha maneno ya upuuzi. Huoni aibu unaishia kupewa hela ya soda kutetea ujinga huku wenzio wakizichota hasa. Baadhi ya Watanzania mnatuangusha sana uwezo wenu wa kufikiri, mmekalia uchawa tu kwa kupewa hela mbuzi na baskeli za kijana na pikipiki.

Kwa nini huyu kijana ana utajiri wa kutisha sasa hivi, na sio kabla ya utawala huu wa Mama yake! Kwa nini yeye ndio yuko mbele ya kila uamuzi wa serikali na si Waziri, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Usalama, etc. Yani tumefikia wakati yeye ndio kama Rais wa nchi au Waziri Mkuu. Hii ni sawa kweli? Hata JK hakufanya makosa ya wazi kiasi hiki, na tulichonga kweli wakati wake. Embu acheni bwana kutuona wajinga. Mambo yameharibika sana, na anayeambiwa haoni wala hasikii.
Yuko mbele ya makamu wa rais, yuko mbele ya waziri mkuu una uhakika na unacho zungumza?Unamaanisha hao viongozi ni dhaifu mpaka atoke mtu nje ya ofisi aje kuamua mambo ya ofisi sio? Kinacho wafanya watu kupaniki ni kumpelekea lisuu mapesa mengi sio? Kwani lissu hakukiri kuwa anadai PESA serikali? Yule kijana sababu za kwenda kwa lisuu ni zipi? Alienda kiofisi au alienda kama mtoto wa mama anae semwa na kubaguliwa kwenye mikutano kisa uzanzibar wake? Je wewe ungekua mtoto wa Samia unge furahi anavo semwa sio? Unadai yuko mbele kuzid hao viongozi wakubwa je Yeye ndo anasaini mikataba ya serikali sio usha sikia kaenda muwakilisha rais kwenye mambo ya kiserikalo sio

Fullstop kwishaaa
 
Huyo mtoto anajitakia mwenyewe kwa kujiingiza kwenye vitendo viovu dhidi ya taifa atujawai kumsikia kwa jambo jema lolote wala la haki wala la uoendo wala la kizalendo ...tukimsikia habari zake ni ubakaji , ufisadi ,,rushwa ,hongo ,,kutapanya pesa , mauaji nk hapo akuna mtoto hapo ni uchafu
Kubaka, kufisadi Mkuu una maana alishawahi kuwa serikalini Mkuu? kwanini msijiorganise mka mfungulia kesi mahakamani kama Ni kweli ana makosa? Alafu kesi ikikaushiwa ndo tuanze kupiga kelel, njia hii tunayo tumia si nzuri kiungwana.

Fullstop, kwishaa
 
Back
Top Bottom