Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Zungumzia hata kwa uchache Maburungutu ya pesa aliyoendanayo ABDUL nyumbani kwa Lisu akiwa na Wenje.
Vizuri mkuu, je mlisha wahi kumhoji yeye aseme ni wapi alipata hizo PESA? Je kama yeye mwenyewe anajiweza? Maana mpaka sasa hakuna mtu alietoa historia yake watu kujiridhisha kuwa alikua mlala hoi zamani, wamefisadi wamepata PESA sasa hayupo mkuu maisha hayaendi hivo ushabiki kwenye maisha ya watu sio Leo KWAKE kesho kwako mkuu

Fullstop, kwishaaa
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Sasa kwa nini anakosa raha? Kama pesa ya uharali ataishi kwa furaha na kujiachia kama watoto wengine,naamini huyu na mama yake mwisho wao utakuwa mbaya
 
Mkuu nakuunga mkono

Tuache wivu, tupmbane kuandaa maisha ya kesho
 
Hata Mo Dewji hua wanamsema kua ni mali za urithi,
Badala watumie muda wao kusaka hela ili na wao watoto wao waje kurithi mali zao kama Mo alivyorithi kutoka kwa wazazi wake,wao wako busy kusema wengine!

Masikini wengi hutaka watu wote waishi kama wanavyoishi wao,ukiwa na uwezo tu,utapewa tuhuma zote,

Ila kama hiyo ndio njia yao ya kujifariji kwao,basi waachwe tu wafarijike,ila muda hua haurudi nyuma.
 
Si bora mngesoma tu kayumba ,kama aina ya mwandiko wa kiswahili ni hivi hali umesoma private!
Muandiko wa kidaktari Kuna watu wanaamini huko shule hawakfunzwa muandiko mzuri mkuu! Hili ni jukwaa na shughuli za kufanya siwezi kukulembea muandiko wewe ukiona huwezi soma si una nyamaza unapita kushoto mkuu, au umezoea kuchamba huwezi pitwa na jambo? Ukachuna

Fullstop, kwishaa
 
Mkuu nakuunga mkono

Tuache wivu, tupmbane kuandaa maisha ya kesho
Mkuu nmemkumbuka yule jamaa eti ana lazimisha watu watoe watoto private school wapeleke serikali akaona haitoshi akahamia insta na fb mpaka unajiuliza hivi huyu hizo hela anawasaidia kutafuta au

Fullstop, kwishaaa
 
Hata Mo Dewji hua wanamsema kua ni mali za urithi,
Badala watumie muda wao kusaka hela ili na wao watoto wao waje kurithi mali zao kama Mo alivyorithi kutoka kwa wazazi wake,wao wako busy kusema wengine!

Masikini wengi hutaka watu wote waishi kama wanavyoishi wao,ukiwa na uwezo tu,utapewa tuhuma zote,

Ila kama hiyo ndio njia yao ya kujifariji kwao,basi waachwe tu wafarijike,ila muda hua haurudi nyuma.
Mkuu mara ya kwanza niliona ni sawa, ila nilipo ona mpaka wanamfata mtu airport kumrkodi nikaona, no too much sasa hii kufatiliana kwa hivo, Hii ni dalili ya chuki na husda za kimaskini. Mtu anamponda mo dewji wakati hata yeye anaweza anda maisha ya wanae warithi kama dewji alivo rithi

Fullstop, kwishaaaa
 
Sasa kwa nini anakosa raha? Kama pesa ya uharali ataishi kwa furaha na kujiachia kama watoto wengine,naamini huyu na mama yake mwisho wao utakuwa mbaya
Mkuu we sio mungu, usihukumu kabla ya kuhukumiwa mkuu usifanye hivoo,

Fullstop, kwishaaa
 
Hata Mo Dewji hua wanamsema kua ni mali za urithi,
Badala watumie muda wao kusaka hela ili na wao watoto wao waje kurithi mali zao kama Mo alivyorithi kutoka kwa wazazi wake,wao wako busy kusema wengine!

Masikini wengi hutaka watu wote waishi kama wanavyoishi wao,ukiwa na uwezo tu,utapewa tuhuma zote,

Ila kama hiyo ndio njia yao ya kujifariji kwao,basi waachwe tu wafarijike,ila muda hua haurudi nyuma.
Tatizo siyo mali za urithi
Wengi tunaachiwa mali za urithi
Ila tumezifanyia nini 😄

Ova
 
Dogo kama huyo gari la bilion2 analitoa wapi kama sio mkondo wa pesa za serikali kumwagika kwenye familia?

we jamaa bana, mtu mama yake amekuwa waziri for 15 years. vice persiedent 6 years, na sas raisi 4 years halafu unauliza analitoa wapi? unafikiri wazee wote kama wa kwako wanashindwa kutengeneza future nzuri ya watoto wao wanaoata fursa ya kuwa na kipato kizuri?
 
Kwa nini hivyo vitu hakumiliki kabla,asubilie tu siku yake yaje
 
Kagame aliwahi sema "I will hit where it hurts the most" kama mama yake hasikii labda anaweza sikia familia yake ikianza kumwambia "mama tunasumbuliwa huko mtaani"

na yeye akiamua ku hit where it hurts the most itakuaje?
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Mtoto wa raisi naye ni raisi?
Anafanya BIASHARA GANI?
 
Back
Top Bottom