Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

wakuu nime kaa KIMYA ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analo miliki, chanzo mange kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazo muingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavo taka sio nyie mnavo taka mnakera kumfatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unae soma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, Dunia ya Leo watoto wote wa maraisi wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nmeshtuka hivi bado mjini Kuna watu wanafikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

MChezaji wa zamani wa yanga anechoma mishikaki buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakijipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

nimewakumbuka jirani ZETU walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajarizika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school Haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelel watu wanasaka Pion ESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazo tafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Depression
 
Sijasoma yote maana ndefu sana ila point Yako ni valid
Kama washua hawajatupa GoodLife basi tupambane vijana wetu waje kulaumiwa kwa kula kuku walaini na juisi nzito yenye harufu nzuri na kuvaa nguo za kitani safi na Sufi
La hasha watakuwa wapiga kura.
 
Nyie ndo mlowekwa hapo masaki mnalipiwa bando na chakula eti??
Shida nadhani ni jinsi walivyokuzwa. Mwinyi watoto wake hata walikuwa hawajulikani na mwinyi ni tajiri. Mkapa watoto wake wako kimya na hauweziwajua. Na mkapa kawaachia mali nyingi. Mahoteli. Viwanda vya sukari. Magufuri ndio sasa wanaanza kuonekana. Lakini sasa hawa wawili daah! Kila issue wapo nyuma yake. Unafikiri watafuta habari wanawaacha?
 
wakuu nime kaa KIMYA ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analo miliki, chanzo mange kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazo muingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavo taka sio nyie mnavo taka mnakera kumfatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unae soma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, Dunia ya Leo watoto wote wa maraisi wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nmeshtuka hivi bado mjini Kuna watu wanafikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

MChezaji wa zamani wa yanga anechoma mishikaki buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakijipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

nimewakumbuka jirani ZETU walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajarizika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school Haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelel watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazo tafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Zungumzia hata kwa uchache Maburungutu ya pesa aliyoendanayo ABDUL nyumbani kwa Lisu akiwa na Wenje.
 
unamskitia ulimzaa wewe jiskitie wewe kwa sababu hauna hela na kwanza koma kumzungumzia mtoto wa rais si saiz yako saiz yako ni watoto wa buza
 
Dogo kama huyo gari la bilion2 analitoa wapi kama sio mkondo wa pesa za serikali kumwagika kwenye familia?
Dunia haijawahi KuWA na usawa mkuu hata we ukishika Dola, Kuna maisha utatamani wanao waishi, nmetoa tu mfano mdogo mtu kushupaza shingo eti Fulani anasoma private school na sio serikali mkuu, mambo hayaendi hivo, pambaneni na mama yake ndo wakijibu maswali yenu kwa ufasaha ye muacheni, hata asingekuwa mtoto wa rais bado mngesema katoa kafara wanafamilia, binadamu hatuna dogo mkuu, haya ni maisha tu Leo KWAKE kesho kwako


Fullstop, kwishaaa
 
unamskitia ulimzaa wewe jiskitie wewe kwa sababu hauna hela na kwanza koma kumzungumzia mtoto wa rais si saiz yako saiz yako ni watoto wa buza
Kama unalijua Hilo kuwa mtoto wa rais hapaswi kizungumziwa kinacho wawasha nyie kuchongoa midomo yenu kwa ya kunguru nini, mnaacha kufanya kazi unaenda air port kumuangalia anaendesha gari Gani hivi akili zenu ziko sawa?


Fullstop, kwishaaa
 
Dunia haijawahi KuWA na usawa mkuu hata we ukishika Dola, Kuna maisha utatamani wanao waishi, nmetoa tu mfano mdogo mtu kushupaza shingo eti Fulani anasoma private school na sio serikali mkuu, mambo hayaendi hivo, pambaneni na mama yake ndo wakijibu maswali yenu kwa ufasaha ye muacheni, hata asingekuwa mtoto wa rais bado mngesema katoa kafara wanafamilia, binadamu hatuna dogo mkuu, haya ni maisha tu Leo KWAKE kesho kwako


Fullstop, kwishaaa
Kagame aliwahi sema "I will hit where it hurts the most" kama mama yake hasikii labda anaweza sikia familia yake ikianza kumwambia "mama tunasumbuliwa huko mtaani"
 
Shame on you kuja kuchamba wanaume kwakumtetea baasha wako ...... Utatolewa utumbo kwa nyuma endekeza uchawa tuu wa kisingelu
HIiiiii maskini pole eti, kumbe walikunaniiihii mpaka wakakutoa utumbo wa nyuma jamani binadamu si wazuri, walikulipa au ulibakwa?



Fullstop, kwishaaaaa
 
Kagame aliwahi sema "I will hit where it hurts the most" kama mama yake hasikii labda anaweza sikia familia yake ikianza kumwambia "mama tunasumbuliwa huko mtaani"
Bro kama ni hivo basi sawa we una hoja si hao wao nikutukana tu


Fullstop, kwishaaa
 
Back
Top Bottom