Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Baba yako Alizaa BOGA liliooza.

Hakuna mtu anamfuatilia Abdul kama angekuwa na anatumia pesa za JASHO lake.

Ulivyo kiazi umeshashiba ugali, na kichwa kimejaa Ugali unaonesha upumbavu wako hadharani.

20250824_074242.jpg
 
Tumekusikiliza Abdul endelea kula maisha hiyo ni fursa umepata.
 
Mtoto wa raisi naye ni raisi?
Anafanya BIASHARA GANI?
Anahudumiwa na mama yake, sababu ni wajibu wa mzazi kumhudumia mtoto wake na asipo Fanya hivo ni haki ashitakiwe

Fullstop, kwishaa
 
Sawa waishi watakavyo lakini wasiue watu. Inakera sana, kuiba muibe na bado muue watu binadam wa aina gani nyinyi?
Tatizo linaanzia hapo hakuna mtu wa kumwonea mtu wivu kwa sababu ana maisha mazuri bali unapotumia maisha yako mazuri kunyanyasa watu si vizuri mbele ya jamii yoyote ile na mbele ya mwenyezi Mungu.
 
Fedha zinazopatikana kwa access ya uongozi ni hatari kwa taifa.

Vyanzo vya fedha visivyoeleweka ni hatari kwa mataifa yote duniani na ni msingi wa watu kupigana vita.

Kuingilia nakuvunja sheria kwa kutumia nafasi ya uongozi uliokua nao au jamaa yako ni rushwa ,adui wa haki ,ufisadi na hatari kwa national sovereignity.

Nchi zote duniani kuna battle ya equitble distribution of national wealth ,sio wachache tu wajiwekee mrija

Brother hapa sio FB ,hizo comment zako peleka kule unakofanana nao
Kwa kweli
 
Baba yako Alizaa BOGA liliooza.

Hakuna mtu anamfuatilia Abdul kama angekuwa na anatumia pesa za JASHO lake.

Ulivyo kiazi umeshashiba ugali, na kichwa kimejaa Ugali unaonesha upumbavu wako hadharani.

View attachment 3454565
Mkuu hii NDO picha yako, umependeza sana alafu baba yako Wala hakusingiziwa mume fanana wote na sura zenu ka tangawizi

Fullstop, kwishaaaa
 
Una ushahidi Gani hizo ni Kodi ZETU?

Fullstop, kwishaaa

Kujiongeza kuwe na kiasi chake mkuu, Kwa hiyo nikikuzungumzia wewe nimeizungumzia chadema sio

Fullstop, kwishaaa
Kwani rafiki yangu ni uongo kuwa hizo siyo kodi za Watanzania?
 
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.

Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.

Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.

Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,

Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao

Fullstop, kwishaaaaaaa
Kwisha wewe na hao unaowatetea. Hujasikia taarifa kuwa mama yake alipiga simu Moja tu Rost tamu akapewa mgodi kwa bei ya ajabu? Unadhani hapo nini kiliendelea kama siyo kupora rasmali za nchi Kwa manufaa binafsi, hizo mali ni za mama yako peke yake? Hii nchi ni ya mama yako peke yake? Wanaohoji maisha ya kifahari ya huyo kijana wana makosa gani?

Umesikia Kuna matrilioni ya pesa za Corona hayajulikani yalipo. Nani Mkuu wa nchi? Mwanaye anapoonekana na ukwasi ghafla watu wakihoji Kuna dhambi gani?

Wanapoambiwa Kuna wizi wa raslimali za umma mahali wakati mama yake akiwa ndiye Mkuu wa nchi, Kuna ubaya gani kuhoji huo utajir wa ghafla wa mwanaye?

Mnapokuwa mnapewa bukubuku kuwasafisha wahuni, jaribuni pia kushtuka na kutumia akili.
 
Watu wanataka matajiri kuishi kama mashetani kuliko wanavyoutaka utajiri full stop kwishaaaa.
 
Kwisha wewe na hao unaowatetea. Hujasikia taarifa kuwa mama yake akipiga simu, kuwa Rost tamu mgodi kwa bei ya ajabu? Unadhani hapo nini kiliendelea kama siyo kupora rasmali za nchi Kwa manufaa binafsi, hizo mali ni za mama yako peke yake? Hii nchi ni ya mama yako peke yako? Wanaohoji maisha ya kifahari ya huyo kijana wana makosa gani?

Umesikia Kuna matrilioni ya pesa za Corona hayajulikani yalipo. Nani Mkuu wa nchi? Mwanaye anapoonekana na ukwasi ghafla watu wakihoji Kuna dhambi gani?

Wanapoambiwa Kuna wizi wa raslimali za umma mahali wakati mama yake akiwa ndiye Mkuu wa nchi, Kuna ubaya gani kuhoji huo utajir wa ghafla wa mwanaye?

Mnapokuwa mnapewa bukubuku kuwasafisha wahuni, jaribuni pia kushtuka na kutumia akili.
HAKIKA
 
Kaka uungwana kamwambie mama yake si yeye, yeye haijawahi kuja kwako kukuomba kura mkuu, kipindi cha kikwete tuliaminishwa kampuni la lake oil na gas ni la ridhiwani na kikwete mwenyewe je sasahivi umefahamu mwenye kampuni, je mlisha MuOMBA radhi ridhiwani kwa kumchafua?

Fullstop, kwishaaa
 
Back
Top Bottom