Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
- Thread starter
- #61
uwiiiiiiiiiiiiiiii eti wafupi ka vitz, nimechekajeeeeeeeeee?
mkuu ukitaka nikutafutie wanyaru utoe mbegu ndefu nipm,naona unapenda warefu
uwiiiiiiiiiiiiiiii eti wafupi ka vitz, nimechekajeeeeeeeeee?
Kavaa miwani ndiyo maana hajamuona...Kweli kipipa lol......Afu mamake si aliwahi kukataza watoto wa kike/wanawake /wadada kuvaa matiti wazi?.....Mbona Mwanaasha kaacha titiz nje?
Kavaa miwani ndiyo maana hajamuona...
mwanaasha yaani ni kipipa flani hivi...mwili umejaa pizza tu
mwanaasha yaani ni kipipa flani hivi...mwili umejaa pizza tu
Huyo si askari jamani, oooh watoto wake ni askari kumbe, sasa utamtongazaje huyo? lazima na wewe uwe na bunduki mbili ile kama ya FFU wetu na ile kama ya kwangu
Tatizo la hawa Watusi huwa ni wa baridi sana!
hakina chochote kako ka kimbaumbau zaidi ya kutaka kuigeuza nchi ya familia pambaf zake.anataka kutuambia kwamba hakukuwa na elimu au fani ingine ambayo wanae wanaweza kuichukua zaidi ya hiyo.my take utasikia mara mtoto kanali mara brigadier,halafu mkuu wa majeshi kisha mkewe raisi.mwafrika sio mtu wa kumuamini kwenye maswala ya kimadaraka.ila vinasahau kama kuna kufa mungu usiibariki afrika maana waafrika wanateseka kwa upumbavu wao.
Shida ya huyu kitandani anaweza kukuambia wewe ndio ulale yeye akae juu na ni siku akitaka.