mtoto wa president kagame ni mzuri mashalah,hakunaga

Hivi na yule anayimba kwaya ya kwetu pazuri si watoto wake? Kuna binti na wa kiume wanafanana sana na wazuri pia. Il ni well mannered sana.
 
Women-in-Burundi-Africa-2-1.jpg

Mkuu, huyu mkeo ama bibi yako?
 
Huyo si askari jamani, oooh watoto wake ni askari kumbe, sasa utamtongazaje huyo? lazima na wewe uwe na bunduki mbili ile kama ya FFU wetu na ile kama ya kwangu

Haya mambo huwa ni tofauti kabisa maana hata komandoo huwa mlaini mbele ya mwenzake hata kama hajashika bunduki
 
hakina chochote kako ka kimbaumbau zaidi ya kutaka kuigeuza nchi ya familia pambaf zake.anataka kutuambia kwamba hakukuwa na elimu au fani ingine ambayo wanae wanaweza kuichukua zaidi ya hiyo.my take utasikia mara mtoto kanali mara brigadier,halafu mkuu wa majeshi kisha mkewe raisi.mwafrika sio mtu wa kumuamini kwenye maswala ya kimadaraka.ila vinasahau kama kuna kufa mungu usiibariki afrika maana waafrika wanateseka kwa upumbavu wao.

ingawa nsoma comment yako nkiwa na castle lager 6 BROTHER NI UKWELI MTUPU ULIOUANDKA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom