mtoto wa president kagame ni mzuri mashalah,hakunaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtoto wa president kagame ni mzuri mashalah,hakunaga

Discussion in 'Jamii Photos' started by Money Stunna, Sep 22, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  252324_123545347785303_376258987_n.jpg

  kizuri lazima kisemwe,uyu mtoto tumpe sifa zake,ametulia mashalah
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,250
  Likes Received: 12,973
  Trophy Points: 280
  virwanda vya ukweli eti
   
 3. M

  Mundu JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mshkaji M stunna mbona unakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia?
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kama amemzidi urefu babake huyo atakua too mrefu..dah
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hata mwanaasha Kikwete ni mzuri jamani
   
 6. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leta picha tumtathimini.
   
 7. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona kiwango chake ni cha CHANGALAWE TU
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  anataka awalithishe watoto urais. kweli huyu ni dictator. Ukute wana vyeo vikubwa tu!.
   
 9. L

  Lady G JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yupi sasa kati ya hao......unamsemea
   
 10. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nami Lady G nilijiuliza swali hilo!!
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  aaaaaaaaahhhhhhhh jamani , mwenye macho anaambiwa??/ kichwa cha somo hapo juu kinahusika

  wote ni watoto wake but
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Huyo si askari jamani, oooh watoto wake ni askari kumbe, sasa utamtongazaje huyo? lazima na wewe uwe na bunduki mbili ile kama ya FFU wetu na ile kama ya kwangu
   
 13. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 773
  Likes Received: 981
  Trophy Points: 180
  mke wangu mwanajeshi.....
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sura za kitutsi hizo, hawa wana features sawa ni asili za kisomali au ethiopia
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Dogo mwanajeshi. Kweli uzalendo damuni...
   
 16. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sasa naanza kuona kwamba jamii forum, tu,eanza kutokuwa watu makini wa kutafakali hoja...Watoto wa Mh Rais Kagame na udictator limetoka wapi. Rwanda ni nchi ya Tatu Africa kuwa na UCHUMI BORA AFRICA ULIONDOA YA KWANZA 1.South Africa 2.Mauritius 3. Rwanda ya tatu usiniulize Tz ni ya ngapi.

  Nijuavyo hawa watoto wako shule, na wanakuja tu likizo na kujiunga na JKT yao UMUGANDO....sisi tutabaki kulaumu na kucheza pool na bao saa za kazi....!! amka ujitume na uwe na Nguvu ya hoja. KEEP IT UP MH;KAGAME
   
 17. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Duh!!Warefu sana!!!
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 19. by default

  by default JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kunawanawake wazuri jaman,mi natafuta mwanamke kama huyu nikitoa kitu kiwe cha ukwel c kuleta mbegu fupi fupi kama vitz
   
 20. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  mwanaasha yaani ni kipipa flani hivi...mwili umejaa pizza tu
   
Loading...