mtoto wa president kagame ni mzuri mashalah,hakunaga

hapo kuna shida je kama nataka kupiga mashuti ya mbali unnafikiri itakuaje na kanali kashaamuru nitangulie chini.

Hahahahaaa... ni swala la kujipanga na kukukuruka tu kitaalamu kwani si uliwahi kumuona marehemu Method Mogella (RIP) alipokuwa akipiga penalty?? hasogei hata hatua moja nyuma ya mpira na anafunga kirahisi tu...LOL.Labda kama unapenda zile za kikuria "Rara chini nikurenge"...
 
Back
Top Bottom