mtoto wa president kagame ni mzuri mashalah,hakunaga

najaribu kuimagine hao wana wa Kagame watakuwa warefu kiaje...maana mzee Kagame kaenda hewani sekunde.
 
Shida ya huyu kitandani anaweza kukuambia wewe ndio ulale yeye akae juu na ni siku akitaka.
 
Hata mwanaasha Kikwete ni mzuri jamani

Leta picha tumtathimini.



LIONS+PRESIDENT+FRANK+GOYAYI+%2C+FIRST+LADY+SALMA+KIKWETE+AND+MWANAASHA+KIKWETE+FOLLOWING+THE+EVNT+ATTENTIVELY.JPG
 
Huyo si askari jamani, oooh watoto wake ni askari kumbe, sasa utamtongazaje huyo? lazima na wewe uwe na bunduki mbili ile kama ya FFU wetu na ile kama ya kwangu
hakina chochote kako ka kimbaumbau zaidi ya kutaka kuigeuza nchi ya familia pambaf zake.anataka kutuambia kwamba hakukuwa na elimu au fani ingine ambayo wanae wanaweza kuichukua zaidi ya hiyo.my take utasikia mara mtoto kanali mara brigadier,halafu mkuu wa majeshi kisha mkewe raisi.mwafrika sio mtu wa kumuamini kwenye maswala ya kimadaraka.ila vinasahau kama kuna kufa mungu usiibariki afrika maana waafrika wanateseka kwa upumbavu wao.
 
Mkuu sio kama yetu huku watu washayachambua na kuyaivisha kuanzia rais wa kwanza ....loh ]
naambiwa ni soja na anatembea na mkono wa punda sasa sijui ndoa itakaaje hapo akikuhisi tu
anakupa kubwa unaambiwa ulikuwa muwasi wa ....congo umekimbilia rwanda
 
Back
Top Bottom