Mtoto wa Lipumba aonekana

Mtoto wa Lipumba aonekana

Kweli huko Norway ndio wanapiga Blue blue namna hii?????
 
Haya tujibu na hili "kwani Prof. Uchwara anatumikia CCM"?
 
Sikuwahi kujua kama Mr Lipumba ana mtoto mkubwa kiasi hichi, watu wanatumia vibaya siasa zao kusema hana mtoto wala mke.

Kijana Huyo ( Mussa Haruna)View attachment 455944 anaishi Norway jimbo la Nordland ni mfanyakazi katika shirika la fedha nchini humo.
Sasa ndio anune namna hiyo? Ni kututisha ama?
 
Nani kakutuma, watu wanazungumzia matatizo yanayokumba nchi yetu na tufanyeje tuweze kuvuka wewe unaleta mambo ya watoto. Hili linatatuaje kero za watanzania

Haya ni mambo binafsi hayawezi kumhusu mtu anayefikiria mambo makubwa ya jamii,,

Its too personal matter and a too low thread😎😎

Kuna thread nyingi sana za Matatizo ya Nchi umeziacha umekimbilia kutupia Jicho kwny hii
 
Mbona wananchi mna hasira leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mada za Wema Sepetu kuachana na Diamond mnachangia ila kwa hii mada mnadai mko bize mnataka kujadili mambo ya kitaifa[emoji23]
Diamond ni jambo la kitaifa[emoji23] [emoji23]
Ivi mtunzi wa ule wimbo ni nani naupendaaaa
Hatunywi sumu hatujinyongiiii...
Ccm mbele kwa mbeleeee
Tumeipenda wenyewe.... Chaguo letu wenyewe...
Acha waisome namba eeeeh waisome nambaaa ccm mbele kwa mbeleeeee......
 

Attachments

Mie nilifikiria unatuletea ile picha anaendesha katoy ka gari Naipenda!
 
Hebu tupia na nyingine hata moja maana hiyo labda alikuwa kaja kusalimia Tabora
 
Mleta uzi kweli hujui kbs familia ya profesa
 
kwa aibu aliyoifanya baba yake kamwe asithubutu kujitambulisha kuwa anajuana na Lipumba.
 
Lipumba awe na mtoto au asiwe naye wewe inakuhusu nini.Kama huna cha kuandika kaa kimya.Acha umbea wewe.
 
Umejuaje kuwa ni mtoto wa Propesa unajua mnataka kusababishia watu wengine dhambi tu,nayejua baba wa mtoto ni mama na hata mke wa Propesa hakuna anaye mjua.
Mbaya zaidi uliyeleta Thread tena unaweza ukawa wa kiume ni hatari sana muwe mnajifikiria kwanza kabla ya mwendokasi Thread or writings.
 
Back
Top Bottom