Mtoto wa Lipumba aonekana

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
16,166
33,535
Sikuwahi kujua kama Mr Lipumba ana mtoto mkubwa kiasi hichi, watu wanatumia vibaya siasa zao kusema hana mtoto wala mke.

Kijana Huyo ( Mussa Haruna)
IMG_143917183688697.jpeg

Anaishi Norway jimbo la Nordland ni mfanyakazi katika shirika la fedha nchini humo.
 
Nani kakutuma, watu wanazungumzia matatizo yanayokumba nchi yetu na tufanyeje tuweze kuvuka wewe unaleta mambo ya watoto. Hili linatatuaje kero za watanzania

Haya ni mambo binafsi hayawezi kumhusu mtu anayefikiria mambo makubwa ya jamii,,

Its too personal matter and a too low thread:cool::cool:
 
Umepata wapi kibali cha kubandika picha take mtandaoni? Hasa hapa JF ambapo masharti na vigezo vinatakiwa kuzingatiwa?.

Hizi hoja nyepesinyepesi zinapotezea muda watu kwenye mambo makubwa yanayosumbua watu na taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom