kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Duh kweli wa Lipumba si unaona hata hilo Shati na Tai
Anaweza kutokea baba mzazi wa kweli akaanza kumshutumu mkewe kuwa amemakinikia na Lipumba ikaanza songombingoUmejuaje kuwa ni mtoto wa Propesa unajua mnataka kusababishia watu wengine dhambi tu,nayejua baba wa mtoto ni mama na hata mke wa Propesa hakuna anaye mjua.
Mbaya zaidi uliyeleta Thread tena unaweza ukawa wa kiume ni hatari sana muwe mnajifikiria kwanza kabla ya mwendokasi Thread or writings.
Mbona ni kama picha ya proffer Lipumba akiwa kijana?Sikuwahi kujua kama Mr Lipumba ana mtoto mkubwa kiasi hichi, watu wanatumia vibaya siasa zao kusema hana mtoto wala mke.
Kijana Huyo ( Mussa Haruna)View attachment 455944
Anaishi Norway jimbo la Nordland ni mfanyakazi katika shirika la fedha nchini humo.
thibitisha kama kweli huyo ni mtoto wake, manake nimeweka jina 'MUSSA HARUNA" google wameniletea rundo la watu, wengine wanigeria wengine wa africa magharibi huko rundo. hivi mtu kuitwa mussa haruna basi ni mtoto wa lipumba kwasababu lipumba jina la kati ni haruna?hahahahaha. aonyeshe mke hapa tuone kama huwa analala peke yake au kuna mtu anamfulia mashuka. aonyeshe na watoto. kama angekuwa na mke asingekuwa na matabia ya aina ile. watu wengine wanaweza kubarikiwa akili za darasani lakini uwezo wa kuoa na ukaishi na mke kama wanaume wenzio hauna. ni kilema mojawapo nacho.mnapenda uzushi bila majibu......mmejibiwa sasa mnajibaraguza kama vile hamjawahi kuhoji.
Lipumba ndo nani?
Ukweli unabaki ukweli tu, Lipumba hana mtoto.ooh hana mke ooh may be jongoo hapandi mtungi
prof huwa hajibu mataputapu yenu
huyo prog bana
Hahahah ndo mrithi wa uenyekitiKala hasara hana baba