makufuli
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 426
- 253
Si mlikua mnauliza lakinSasa Ibulahimu akiwa na mtoto inatusaidia nini sisi?
Si mlikua mnauliza lakinSasa Ibulahimu akiwa na mtoto inatusaidia nini sisi?
Vipi akina prof nao wamesimamisha mgombea ktk uchaguzi mdogo wa ubunge kama walivoahidi?ooh hana mke ooh may be jongoo hapandi mtungi
prof huwa hajibu mataputapu yenu
huyo prog bana
Acha kufananisha dunia ni mambo ya kipuuziHana baba wakati dunia inamtafta
Imekuwa hivyo tenaSio kweli....kisa kafanana nae.....huyo jamaa si kiongozi wa kwaya kanisa flan hivi Ruvuma!
Vyema ungalitaja hilo kanisa na hiyo kwaya ili kuondoa hisia za urongoSio kweli....kisa kafanana nae.....huyo jamaa si kiongozi wa kwaya kanisa flan hivi Ruvuma!
Huyu anaonekana ni mwanakwayaSio kweli....kisa kafanana nae.....huyo jamaa si kiongozi wa kwaya kanisa flan hivi Ruvuma!
KwaniniKwa hizo nguo kama anaimba kwaya Pentekoste Chato , siamini anaweza kuwa Ulaya huyo
Umenichekesha wewe halafu nipo kikaon kanisani,Sasa inatuhusu nini? Kama umevimbiwa maharage wahi msalani kabla hujajinyea!
Kwakweliiishati la huYu kijana haimbi kwaYa YoYote mbeYa huko