munamugi
Senior Member
- Dec 16, 2016
- 105
- 51
Waambie Bwana.Sio kweli....kisa kafanana nae.....huyo jamaa si kiongozi wa kwaya kanisa flan hivi Ruvuma!
Waambie Bwana.Sio kweli....kisa kafanana nae.....huyo jamaa si kiongozi wa kwaya kanisa flan hivi Ruvuma!
WaambieSio kweli....kisa kafanana nae.....huyo jamaa si kiongozi wa kwaya kanisa flan hivi Ruvuma!
Haloh nimeamini huku jf waongo na wazushi ni wengi kupitiliza yaani huyu bana namfahamu ni katibu wa kanisa la kkkt huko kanda ya ziwa na norway sidhani kama amewai japo kuisikia loh nimewakoma jf
He!Sikuwahi kujua kama Mr Lipumba ana mtoto mkubwa kiasi hichi, watu wanatumia vibaya siasa zao kusema hana mtoto wala mke.
Kijana Huyo ( Mussa Haruna)View attachment 455944
Anaishi Norway jimbo la Nordland ni mfanyakazi katika shirika la fedha nchini humo.
tumwamini yupi sasa. na uzi hauna status ya TETESI! basi ambatanisha na cheti vha ubatizo/kuzaliwa. hii ni JF where we dare to speak openly!Sio kweli....kisa kafanana nae.....huyo jamaa si kiongozi wa kwaya kanisa flan hivi Ruvuma!
KabisaHATA MAKONDA ANA MTOTO MKUBWA TU, SEMA HAPEND SHOW ZA WATOTO
ACHEN KUFATILIA MAMBO BNAFS