Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Kwa hiyo with same spirit ya kustuliwa ndio jamaa akaamua kuwastua kuwa kwao kulisha wahi kuwa na jet fighter pilot??? Watoto wa mama mwingine nao wamo hawaja achwa nyuma, kazi ipo. Sabasaba wameongeza muda mpaka lini vile?



Na washawasha!
Inawezekana unajadiri vitu tofauti na mada
 
Haya amwendeshe baba sasa!

Sent from my LG-D801 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)


Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB:Isionekane nina wivu

Wewe mbona unapiga ngoma na kucheza mwenyewe??[emoji16]
Mara sidhani kama atakua solo ka huyo mara unawachanganya majina ati khalfani[emoji16]
Mara hajapata ajira yupo training[emoji16]
Povu lanini mkuu[emoji16]
Acha uswaha na wivu mkuu[emoji16]huyo mtt kasoma
Mbona tunao wengi tu hapa bongo wamesoma!!!captain mapunda yupo emarate airline captain aziz british airways
Na mama yetu mwingiro alikua Top UN
[emoji16]sasa wewe wivu wanini[emoji16]
Ndomaana ukajiwahi ktk hio msg yako oohh nipo tayari kukosolewa [emoji16]
Haya kasome wewe uwe ENGINEER[emoji16]
 
Wewe mbona unapiga ngoma na kucheza mwenyewe??[emoji16]
Mara sidhani kama atakua solo ka huyo mara unawachanganya majina ati khalfani[emoji16]
Mara hajapata ajira yupo training[emoji16]
Povu lanini mkuu[emoji16]
Acha uswaha na wivu mkuu[emoji16]huyo mtt kasoma
Mbona tunao wengi tu hapa bongo wamesoma!!!captain mapunda yupo emarate airline captain aziz british airways
Na mama yetu mwingiro alikua Top UN
[emoji16]sasa wewe wivu wanini[emoji16]
Ndomaana ukajiwahi ktk hio msg yako oohh nipo tayari kukosolewa [emoji16]
Haya kasome wewe uwe ENGINEER[emoji16]
Wewe ndio hujanielewa,sijatoa povu kama Kiswahili chenu vijana
Sina wivu wowote,ningekuwa na wivu,hao wote waliopita katka industry hii wasingekuwa hapo walipo hii leo.

Siwezi kusoma mara mbili.Unaelewa kazi yangu?Hao unaowataja mimi ndio "mento" wao.Bahati mbaya au nzuri humu JF unaweza kuwa unajibizana na wajukuu au watoto kwa umri na uelewa.

Mwingiro ndio nani?Walionisoma vizuri wamenielewa,jadiliana kwa hoja na lugha ya staha
 
hapo hata hamchekani,wewe mwenyewe umetumia tecno-C7.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
8f2550fed13599ceaa0ab295a54fb3dc.jpg
Na mimi najibu kwa tecno C8 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana Mkuu, nimefurahi kuona mafanikio ya vijana wake!!

Hahaaaa we fahamu tu kwamba anao idadi ya kutosha akiwa kama mwanaume wa kiAfrika

Kuhusu idadi nadhani hata yeye haijui. Ila ni fotokopi
 
Hahahaaa tena bure!!
Sisi watoto wetu wakiwa madereva wa daladala au mabasi, ukitozwa nauli utalalamika daima. Kisa mwanetu ni dereva. Kwa huyo mzee fikra zetu ni kwamba safari za bure zitakuwa nyingi. Kumbe loh! Atatoa mfukoni kila anaposafiri
 
Akae mbali na siasa mambo yatakuwa mswano.

Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
 
Hongera zake,muache aongeze masaa ya kukaa hewani lile dege letu kubwa likija atakuwa ndie rubani wetu mkuu...
 
Back
Top Bottom