Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Hawezi kuwa Captain at that age... ukiniambia ni first officer au flight engineer sawa, lakini siyo captain.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Labda First Officer lakini siyo "Captain".
Hapo umemaliza kila kitu,akifanikiwa kumaliza hapo chuo basi nafasi yake ni first officer kiti ambacho anaweza kukikalia muda mrefu sana kama si msikivu wa maelekezo ya captain maana hao ndio huwa wanatoa recommendation ukiachilia kuwa na masaa mengi uliyoruka na mitihani.ileweke pia kuwa first officer kwenye mashirika makubwa ya ndege si haba maana kiutendaji ndio warukaji wenyewe captain yuko pale kama msimamizi mkuu wa cabin crew japo kuna wakati pia anarusha.
 
Kweli mwenye nacho huongezewa....,hongera khalfan kikwete

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
kale ka binti sijui kako wapi cku hizi baada ya kuhitimu form four pale Feza
 
Angepata hapa nchini ATCL wabongo wangechonga sana utasikia kapewa kwa sababu ni mtoto wa Rais mstaafu
 
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
hivi vitecno vipigwe marufuku kuingia humu maana ndio vinavyoleta fujo

Sent from my SM-T705 using JamiiForums mobile app
 
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
We walumumba kazi yako kusuguliwa kinyeo wenzio babazao wanawapa maisha we unakalia kuisiliba cdm kwa posho ya buku saba
 
Hawezi kuwa Captain at that age... ukiniambia ni first officer au flight engineer sawa, lakini siyo captain.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mkuu hapo umefunika, watu wanataka kutufanya wote watoto
kwanza Shirika ETIHAD ni vigumu kuajiri Pilot .............
pili kwa umri na cheo alichokivaa huwezi beba abiria
ngoja niishie hapa nisije ..............
 
Hongera Khalfan piga kazi . The survival for the fittest.
jamani acheni utani Khalfan huyu mkubwa wake na Ritz
aliyezaliwa huku Dodoma Makole?
basi uPilot (Captain) ni njugu kwenye ETIHAD Airways
labda ni kijana mwingine wa JK
 
Kapendeza, kasoma kwa mkopo wa elimu ya juu?
 
Ukwaju, kwani kuna ndege za kubeba ng'ombe?
 
Kila la kheri

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom