Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Ndg yangu nimekuelewa kwa 100%.

Nasikia Makongoro Nyerere kama sio John Gwido Nyerere (RIP) alikuwa jet fighter pilot, na ashiriki vita ya Kagera,, je kwa viongozi wetu sasa kuna anayeweza kuruhusu mwanaye afanye jambo hilo?
Magufuli only

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
wooww ni bonge LA Handsome BOY

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

 
View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)


Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB:Isionekane nina wivu
Ili kuwa rubani, unatakiwa uwe na sifa gani?
 
Mwenyezi amjaalie apande ngazi na hatimaye kuwa Captain..!!!

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
1. Ridhwani
2. Salama
3. Miraji
4. Khalfan
5. Khalfa
6. Rashid
7. Mwanaisha
8.
9.
Hua wapo tisa, wawili nimewasahau majina yao! Siku Obama kaja na watoto wake Tanzania, wakati wakuugwa pale JKIA! Jakaya alienda na watoto wake wote! Nahisi Obama aliuliza hawa wanao wote??
kuna watu ni wakorofi humu jf

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ili kuwa rubani, unatakiwa uwe na sifa gani?
Inategemeana na nchi na nchi na aina ya urubani unaoutaka
Unataka kuwa Private Pilot au Airline Pilot
Lakini kwa kuanzia tu ni kama hivi:

a}Aged over 18 years old to commence training

b}Completed Secondary School education achieving national qualifications in English Language, Mathematics and Science subjects

c}Proficient in the English language

d}Capable of holding a Class 1 Pilot Medical Certificate

e}Successfully complete and pass the assessment process for your preferred training program
 
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wa Lumumba wako bize kufundishwa kunyoa kucha

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom