This is too low...Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
1. Ridhwani
2. Salama
3. Miraji
4. Khalfan
5. Khalfa
6. Rashid
7. Mwanaisha
8.
9.
Hua wapo tisa, wawili nimewasahau majina yao! Siku Obama kaja na watoto wake Tanzania, wakati wakuugwa pale JKIA! Jakaya alienda na watoto wake wote! Nahisi Obama aliuliza hawa wanao wote??
Hivi Mheshimiwa jumla ana watoto wangapi?
ushabiki na udananda bado aujaisha mjini Mkuu msameheni tu kijana wa watu.Yupo chuoni ndio kaanza urubani, Etihad Flying School.. Sio kaajiriwa la!
Hiyo ni bar 1 tu begani meaning ni mwanafunzi rubani ktk ngazi ya awali kabisa.. Sidhani hata kama solo kaenda
Huyo Haki Ngowi hajui kitu.. Anajua kushona nguo tu.. Afunge mdomo
hapo hata hamchekani,wewe mwenyewe umetumia tecno-C7.Broo naona umetumia TECNO W5 kuposti ujinga huu ujinga.
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Mwanangu inavyoelekea hayo madude unayamanya vzur sana,hongera sanaView attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Kumbe hujui kuwa watoto wa Mbowe wamesoma? Au kwasababu hawajitangazi? Na Yule wa Feza girls Mwanaasha alikuwa mtoto wa Mbowe au wa Lowasa? Maana kama unavyosema Lumumba ma genius na ufipa vilaza. Kwa hiyo hata Jesica ni wa ufipaWa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wamempamba mnoo...Huyo Sheria Ngowi hajui loloteMwanangu inavyoelekea hayo madude unayamanya vzur sana,hongera sana
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Mhhh wivu unaoo si bure... Ukitoka chuo unakua manager ama Graduate Trainee?..mi nlianzia Trainee...sijui wenzanguView attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....
View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.
View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)
Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.
Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.
Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.
Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.
Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.
Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.
NB:Isionekane nina wivu
Sina wivu.Ningekuwa na wivu nisingefundisha vijana wote hao niliofundisha na kuwakuza katika Industry hii.Iwe ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania,wengine tupo toka enzi za East Africa Airways,uje umuonee wivu mtoto mdogo kama huyu?Mhhh wivu unaoo si bure... Ukitoka chuo unakua manager ama Graduate Trainee?..mi nlianzia Trainee...sijui wenzangu
urubani ni kazi rahisi sana, mziki wake ni ada tu,lakini technically hata wewe unaiweza vizuri tuMwenye nacho huongezewa
Do a little thing with the great love ~ Mother Theresa