Mtoto wa JK aula Etihad Airways

Mtoto wa JK aula Etihad Airways

kafanikiwa kupata elimu bora, matokeo yake kazi nzuri kafukuza umasikini. Watoto wetu wanaenda kwenye shule hazina vyoo na masomo uchwala, hawana matumaini ya kuuvuwa umasikini. Rais Magufuli kapigilia msumali elimu ya teens mothers kawasaliti kuwa masikini na watoto wao. Tutawashangilia watoto wao tu. Viwanda haviwezi kujengwa na watu wachache bali na taifa zima.
Hilo la elim ndo usiongee kabisa,JPM kalikuta na atakiacha hapahapa,gumu sana,kama una pesa peleka mtoto sehem yenye kueleweka akapate ELIMU
tapatalk_1491029993504.jpeg
 
Hongera zake, mungu ampe mafanikio. Being a pilot is one of the best Job.

Angalizo kwa aliempost, hizi kazi zinaheshima yake, au jamaa hajui Captain ni nani? First officer ni nan?
 
kwa safari anazofanya baba ake Ana haki UA kuendesha ndege
 
Wa ufipa wako bize kufundishwa kuuza madawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hivi yule mbunge aliyesema bangi ihalalishwe alikuwa wa chama gani?

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Sijui watoto wa huyu ngiri mwingine wapo wapi??
 
Ndio uzuli wa kuwa na watoto wengi ....kisha ukawamudu kuwapa elimu .....yule rubani....huyu lawyer huyo Doctor

Watoto wote uwezo wa kuibadilisha maisha yao. Watoto wetu wanaimbiwa kilimo kwanza, na wao wapelekwa kwenye shule za maana na kuwa madoctor marubani. Serikali ingeivest kwenye elimu na watoto wa mama ntilie na masikini wengeuvuwa umasikini huo kwa kupata elimu bira na wangeepukana na mimba za utotoni. Kwa shida na shule zilizokuwa hazina vifaa wala vyoo watoto wetu wanamaliza elimu bila ya qualification yoyote. Wakati wa masikini kuzaa mtoto akawa daktari ama lubani kwa akili na jitihada zake ulikwisha.
 
Neno 'aula' ni la kijima sana,linaashiria mtazamo wa kimasikini zaidi.

Sent from my SM-N910P using JamiiForums mobile app
 
Broo naona umetumia TECNO W5 kuposti ujinga huu ujinga.

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Hakutaka kipost hivyo ila ndio shida ya hivi vitecno ukiweka point ya maana vinabadilisha!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
huyu si ndo aliyekuwa mwanafunzi wa Feza boys mwaka 2015? sijui alikuwa kidato cha ngapi. kwa miaka 17 aliyokuwa nayo mwaka ule pengine alikuwa form 5 or 6. kasoma uruban kwa muda gani au yupo chuo na sasa anafanya internship?
 
Kwani ukoo wa hawa nao ni wa mabishororo na matangazo kwa wingi?


Na washawasha!



Ndg yangu nimekuelewa kwa 100%.

Nasikia Makongoro Nyerere kama sio John Gwido Nyerere (RIP) alikuwa jet fighter pilot, na ashiriki vita ya Kagera,, je kwa viongozi wetu sasa kuna anayeweza kuruhusu mwanaye afanye jambo hilo?
 
Kwani ukoo wa hawa nao ni wa mabishororo na matangazo kwa wingi?


Na washawasha!
Wao waliishi kama watoto wengine tu, as if baba yao si kiongozi, inawezekana walikuwa wanastuliwa na watoto wengine kuwa " mnafahamu kuwa baba yenu ni mtukufu?"
 
Wao waliishi kama watoto wengine tu, as if baba yao si kiongozi, inawezekana walikuwa wanastuliwa na watoto wengine kuwa " mnafahamu kuwa baba yenu ni mtukufu?"

Kwa hiyo with same spirit ya kustuliwa ndio jamaa akaamua kuwastua kuwa kwao kulisha wahi kuwa na jet fighter pilot??? Watoto wa mama mwingine nao wamo hawaja achwa nyuma, kazi ipo. Sabasaba wameongeza muda mpaka lini vile?



Na washawasha!
 
Back
Top Bottom