Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Kwikwikwi sijampeleka kwa jirani nasubiri nini? Ukimdekeza utakaa mwaka hujagegeda
Hahahahaaa....walah umenifanya niangue kicheko mbele ya watu. Kwani jirani ndo hagegedi
Kwikwikwi sijampeleka kwa jirani nasubiri nini? Ukimdekeza utakaa mwaka hujagegeda
Hahaha mariabaa
Sasa kama kasumbufu tufanyeje?
Hapo ukute mbaba wa watu hata hajagegeda
Aiseee nitakichapa hadi kilale
Hahahahaaa....mamito spare my libs pliiz....na usumbufu wote huo hamu ya kugegeda inatoka wapi
Yani hivi vitoto vinatusababishiaga majanga sometimes ndo mwanzo wa baba kupata sababu ya kuchepuka fyooo stiki tu!!!!
Ukikichapa ndo kitalia hadi asubuhi
Nakapa piriton !!!!!
Wii naomba usije ukanichapia mwanangu kisa unataka kaka yako agegede
Bora kukupiga kanakutoboa macho na kidole...ili kaone jicho likifunguka au kanakukalia kichwani
Siku zipi mkuu? Au kulea watoto kama hawa?
Kuwa na mtoto ambaye anaamka usiku wa manane anataka kucheza huku wewe una usingizi balaa.
Hahahah....kweli mgegedo na uheshimiwe na watu wote
dawa ni kumnywesha konyagi vijiko 3.katalala mbayaa.