utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Anajua tena akikua anaweza kukumbusha ""baba siku ile usiku unakumbuka? Eti ulikua unafanya nini na mama?""
Mamaafacebook usijaribu watoto wanatunza kumbukumbu sanaHajui bwana namuona mdogo sana bado
Mamaafacebook usijaribu watoto wanatunza kumbukumbu sana
mtoto alie we ujitie kumfanya mziki labda km mlimuokota
Haya tupiamo!!!
Mkuu ndio hali unayoendelea nayo au?