Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Bulembo alisema watafukuzwa baada ya uchaguzi lakini naona wameamua wafunguke na kuachia ngazi kabla ya uchaguzi. Magamba hali tete.
 
Thread kama hizi huwa si za kuchangia sana bali tunapaswa kuweka subra tu...

Yakitokea hayo itakuwa kheri...
 
adui muombee njaa!mbona hiyo wiki ijayo mbali hivyo!
 
Go go go #TeamMpasuko..!!

Samia alilalamika hadharani juu ya ccm maslahi... Juzi Magufuli alilia na wana ccm mchana usiku wapinzani..!!

ccm inakufa kwa stahili ile ile ya KANU ya Kenya
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.

Ila Yericko Nyerere, Lizabon pamoja na ugamba ila hawa watu wako jikoni. Tusubiri
 
Hvyo ni vilio vya tembo porini wanaouwawa kila siku ndio vinawalaani ,naskia mpaka twiga wanatamani kupiga kura ili nao wachangie mabadiliko
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.
Wewe ramli zako huwa zina makandokando sana figisu-figisu nyingi.
 
Mkuu wala usijali hata wasipotoka wanatusaidia hukohuko waliko, ndio maana tunawaambia Lowassa ana watu ndani ya CCM ambao wanatupa data za ndani, haina haja ya kutoka mchango wao tunauthamini huko waliko

MabadilikoLazima2015
MabadilikoLowassa2015
 
sio kupasuka. ni kulipuka kabisa ili wasiweze kurudi pamoja kamwe. Kakobe aliwaeleza wakampuuza. Sasa yanayotokea ni kama movie iliyotokana na novel ya Askofu Kakobe. Na bado ndimi hazijagawanyika. Subiri kufikia mwisho wa mwezi october kabla ya uchaguzi.
 
Mkuu, jana Makongoro kwa kinywa chake tukiwa Mikocheni aliniambia kuwa anaachana na siasa na hatapanda tena jukwaa la Magufuli! Haya aliyaongea kabla na ndipo akaagiza mzinga mkubwa wa Konyagi akaanza kunywa! Kama unakumbuka nilisema kuwa aliambiwa na vijana wa pale kuwa ulevi umemponza kutwaa nchi na yeye akakiri! Hili la kuagiza mzinga wa Konyagi niliacha kuliandika ili kulinda maadili!!
Mkuu G Sam, nilikuwa nimenuna hadi nimecheka, eti "....ndipo akaagiza mzinga mkubwa wa konyagi na kuanza kunywa".
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom