Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

UKAWA so wajinga ndugu yangu....Muda wa CCM kuona machungu umewadia

Sikatai walibaki ndani kuitafuna ccm ila mwisho wa kazi ni lazima watoke. Hatuwezi kudharau kabisa maelezo ya mleta mada hata kama sio zote aletazo zinazaa matunda. Inaeleweka wazi kati ya wajumbe wateule 32 walioteuliwa kumnadi mgombea wa ccm hawako wamoja leo hii. Hawaaminiani tena miongoni mwao. Hata wakiita vikao vyao vya kuboresha mbinu na mikakati kuna wanaotengwa kwa kutoaminika kwao tena kuwa huenda wanatoa siri upinzani. Tulisoma kwenye threds hapa hapa jamvini kuwa Savimbi alitoswa na mgombea mwenyewe kutokana na matusi. Jana tumemsoma Makongoro na tunategea amwondoe na kibajaji na Bulembo kwani nao wanamharibia na ni kweli wengi hawajihusishi tena. Pia kwa tendo la Nchimbi kuwauliza wapiga kura watamchagua nani nao kujibu Lowassa litamchafulia uaminifu wake kwenye chama kwa kiasi fulani. Nao ccm walipiga marufuku wananchi kuulizwa watakaempigia kura. Sasa matokeo ya mpasuko kama huu lazima yaonekane kufanyika.
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.

G Sam hizi ziwe za kweli, maana haya majamaa yamezoea vya kunyonga
 
Last edited by a moderator:
Ninatamani UKAWA, wakasakafie kabisa kila kona ya nchi hii kwa mkakati wao wa kutumia chopa tano.

Ninatamani sana walete competitive international researcher aje ayavue nguo maharamia ya CCM - TWAWEZA.

Kwani humjui master of TZ Politics...Mbowe...Creative Guy...

Do you think he is sleeping? hua haongei sana....but when he strikes.....Guess
 
Mna cheza na Lowassa nyie.. Haongei maneno mengi.. HUWA YEYE ANATENDA..!! Toroka uje tukomboe nchi.
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.
Kaka hongera sana. Wewe ni mfano wa shabiki aliyekuwa sober. Inabidi wote tukuige tuwe na majadiliano yenye tija. I salute you bro.
 
Mmh..ndio yale ya mchana ccm usiku ukawa yanaanza kufumuka hadharani nini........yetu macho
Hamna rangi ataacha ona huyo Baba rizimoko na Magufuli wake.
 
Attachments

  • IMG-20150923-WA0075.jpg
    IMG-20150923-WA0075.jpg
    57 KB · Views: 780
haahaaaaahhhaaaaaaa. Mtajinyia kwenye makalio safari hii dua la kuku halimpati mwewe. Mtaisoma tu namba mwaka huu 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0. Chezea Ccm wewe.
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.

UKAWA tulianza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU.
CCM kwisha kwisha kwisha kabisa,ndembendembe,kifo cha mende,chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Habari kama hii mtoa habari usingepaswa kuitoa muda huu kwani kwa kufanya hivyo unawazindua wajipange kuzuia
 
Samia Suluhu anapigiwa kura mpaka alalamike au yeye anachofanya kupigania campaign za magufuli kwa upande wa wanawake na chama chake kwa ujumla.

Ni washabiki wa UKAWA tu ndio wanaweza amini hoja ambazo zisizo make sense in the first place, kama wanaweza amini Lowassa ni mabadiliko wala si wa kuwashangaa.
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.

Lizaboni ni Paul makonda kama alivotabiri mama samia atakua mgombea mwenza na ikatokea kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom