Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

mimi niliupenda mkakati wa mwanzo wa watu hawa kuendelea kuitafuna ccm ndani kwa ndani , si kutoka nje .
Lakini wameshaitafuna vya kutosha na kazi yao imeisha sasa wanaelekea kanani. Kwa siku zitakazokuwa zimebaki ni vigumu kwa chama kujirudi. Japo bado ni ndoto za mtoa mada lakini si vibaya kuiboresha ndoto yake
 
Na iwe hivyo kwa kuwa 2015 ni mwaka uliokubalika kwa mabadiliko:A S 41:
 
mbona mkuu hataki kuvunja baraza la maminister?au anamwacha magufuli aendelee kuahidi barabara?hizo ni kodi zetu hatudanganyiki!'
Anaogopa Mtoto wa Mkulima na Mzee Mark watakimbia baada ya kujihakikishia mafao yao. Labda lakini
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.
Watu tunachekea tumboni tu, kwe, kwe, kwe ....'
 
Ishaa allah atawafanyia wepesi ILI CCM IZIKWE B4 OCTOBER25!
 
Ndivyo alivyokua amewadanganya EL kua atakuja na wenyeviti 13 wa mikoa, 22 wa wilaya na makatibu kibao
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.
Mbona umemsahau Asumpta anayeambatana na mhombea mwenza?
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.

Umeona Lizaboni achana nalo lile lijamaa likishusha uzushi basi siku ya pili kinasanuka kweli
 
Last edited by a moderator:
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.

Pumba nyingi, kachukue viroba vyako tena
 
Ask.Kakobe aliezea tangu mwaka Jana CCM itakufa kifo cha mende
 
Attachments

  • 1443017438240.jpg
    1443017438240.jpg
    49.9 KB · Views: 660
  • 1443017504736.jpg
    1443017504736.jpg
    60.7 KB · Views: 632
  • 1443017693350.jpg
    1443017693350.jpg
    11.6 KB · Views: 618
Back
Top Bottom