Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

habari tulizonazo ndio maana wanaogopa kuvunja baraza la mawaziri lakini huu ni mwaka wa mabadiliko na Mungu yuko upande wetu mwaka huu

Acha kuropoka usioyajua..kasome katiba ya 1977 ibara ya 57 (2) f kuhusu uteuzi wa mawaziri na manaibu wao na ukomo wa nyadhifa zao, acha kuropoka!
 
Mkuu, jana Makongoro kwa kinywa chake tukiwa Mikocheni aliniambia kuwa anaachana na siasa na hatapanda tena jukwaa la Magufuli! Haya aliyaongea kabla na ndipo akaagiza mzinga mkubwa wa Konyagi akaanza kunywa! Kama unakumbuka nilisema kuwa aliambiwa na vijana wa pale kuwa ulevi umemponza kutwaa nchi na yeye akakiri! Hili la kuagiza mzinga wa Konyagi niliacha kuliandika ili kulinda maadili!!

Mikocheni ipi? Masters club au mimosa?
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.

Propaganda za kitoto izo, mnajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Asumpta mshama Yuki na mgombea mwenza na wengine wore kwenye timu ya 32 wapo kwenye kanda ndio maana kila kanda anayopita maghufuli na Samoa wanakutana na time mpya ya ushindi iliyokuwa kazini kabla hajaja.ushindi ni MIPANGO usiwadanganye watu utachelewa .fuatilia ujue campaign timu Ilivyo sambas hats hapo ulipo time yao ipo .
 
habari tulizonazo ndio maana wanaogopa kuvunja baraza la mawaziri lakini huu ni mwaka wa mabadiliko na Mungu yuko upande wetu mwaka huu

Utakuwa na habari gani wewe usiyejua ata baraza la mawaziri linavunjwa lin?huna unachojua
 
Mkuu, jana Makongoro kwa kinywa chake tukiwa Mikocheni aliniambia kuwa anaachana na siasa na hatapanda tena jukwaa la Magufuli! Haya aliyaongea kabla na ndipo akaagiza mzinga mkubwa wa Konyagi akaanza kunywa! Kama unakumbuka nilisema kuwa aliambiwa na vijana wa pale kuwa ulevi umemponza kutwaa nchi na yeye akakiri! Hili la kuagiza mzinga wa Konyagi niliacha kuliandika ili kulinda maadili!!

Kweli wewe ni muongo,jana Makongoro Nyerere alikuwa Iringa anapiga kampeni,huko Mikocheni umeonana nae saa ngapi?

Ndio mumuone huyu jamaa alivyo muongo.

SIKU NZIMA YA JANA MAKONGORO NYERERE ALIKUWA KWENYE KAMPENI KWENYE JIMBO LA IRINGA MJINI
 
Wajinyee tu.
I support JPM the Pusher.

Ma CCM mna Laana wote...

Akili zenu ziko ktk Masaburi, kama nguchiro vile...

Na October ndio mwisho wenu...

Machizi wakubwa nyie... fvk...!!!
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.

Porojo hizi hazisaidii kitu. Maneno ya mfa Maji ....
 
CCM ilishakufa muda tu...

Sema maziko rasmi ni October 25... saa 3 usiku... msiba huu utafanywa siku hiyo usiku, sbb CCM inaongozwa na giza..
 
ahsante kwa uongo wako, endeleeni kuota ndoto za mchana

Back
Top Bottom