Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Bado wa NNE nawao wafanye haraka ili harakat ziwe vzur zaid kweli siasa mipango. Hongera MZEE EDO big up sana kwako

Siasa sayansi, lowassa anacfheza nafasi yake, lowassa is the greatest man in our time, greatest and will be the greatest political scientist in modern world history.

There are series of similar events coming in the coming weeks before the general election.

The purpose is to distablize and confuse ccm.
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.

Maneno ya G Sam yametimia mkuu! Inabidi uanze kumuamini sasa.
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.

Yameanza kutimia mkuu...
 
Siasa sayansi, lowassa anacfheza nafasi yake, lowassa is the greatest man in our time, greatest and will be the greatest political scientist in modern world history.

There are series of similar events coming in the coming weeks before the general election.

The purpose is to distablize and confuse ccm.
Mkuu huwasipati picha lowassa anawaonaga vipi wakina nape !!?
Huwa anawaona matahira au anawaona mazuzu akina January makamba au ana waonaga vip maana lowassa ni zaidi ya engineer kwenye siasa kama siasa ni mtambo basi anaujuwa huo mtambo mwanzo mwisho lowassa tuna mambo mengi sana ya kuiga kwake kwanza hakurupuki !!
Jambo ambalo ni tatizo kubwa sana kwa vijana kama akina nape na January ni watu wa kukurupuka !!

Inshaa Allah atampa maisha marefu ili tupate mambo mengi ya kuiga kwake!
 
Ccm inazidi kusambaratika.

hivi kwa akili yako ni yupi hasa wa maana anayeweza kuleta impact kwa ccm .. kingunge alikuwa ameshaajitoa siku nyingi mno ., sasa labda chenge , rostam , kapuya kwangu mim nawaona wakitoka CCM itatakata kabisa
 
jipeni moyo lkn tunwaombeni mkisambaratika iwe kwa salaaaaaama! msijemkatuletea machafuko nchini.
 
Hata Magufuli anajua kuwa CCM ni marehemu. Na ndio maana hasemi serikali ya CCM maana ishakufa. Anasema serikali ya Magufuli maana anajua atakuwa na serikali kivuli.
 
Kamwe hiyo ni ndoto subirini kuharisha si kunya
 
Back
Top Bottom