Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.


Aidha Watu Wamekuwa Wambea Sana Siku Hizi au Utaahira Umeiingilia TANZANIA.

Mungu Ibariki Nchi Yangu.
 
Ma CCM mna Laana wote...

Akili zenu ziko ktk Masaburi, kama nguchiro vile...

Na October ndio mwisho wenu...

Machizi wakubwa nyie... fvk...!!!
I am a heart voter wa Magufuli, namuunga mkono Magufuli na wagombea wote wa CCM - watanzania wenye busara wote wanamuunga mkono Magufuli na chama chake, kura yangu haitaingia box la mpiga na wapiga deal wenzake
 
Kumekucha na mtikisiko unaanza rasmi leo!
 
CCM ilishakufa muda tu...

Sema maziko rasmi ni October 25... saa 3 usiku... msiba huu utafanywa siku hiyo usiku, sbb CCM inaongozwa na giza..
Kuota usiku ni dalili njema kwamba hata kama sehemu kubwa ya mwili imepumzika kufanya kazi, bado sehemu muhimu za ubongo zinaendelea kuratibu na kufanya kazi zake kama kawaida. Hata hivyo, unapoota mchana kweupe namna hii wakati mwili wako wote uko active ni dalili kuwa sasa ubongo wako umeanza kulala wakati mwili ukitembea!
 
Kuota usiku ni dalili njema kwamba hata kama sehemu kubwa ya mwili imepumzika kufanya kazi, bado sehemu muhimu za ubongo zinaendelea kuratibu na kufanya kazi zake kama kawaida. Hata hivyo, unapoota mchana kweupe namna hii wakati mwili wako wote uko active ni dalili kuwa sasa ubongo wako umeanza kulala wakati mwili ukitembea!

Toroka uje...hiki chama lazima kimfie kikwete na riziwani kwani alishatuambia urais ni wa familia
 
Bado wa NNE nawao wafanye haraka ili harakat ziwe vzur zaid kweli siasa mipango. Hongera MZEE EDO big up sana kwako

Na mie nshajitoa hivyo bado watatu wadau.
Sirudi tena ccm nami pamoja na umri wangu huu lakini nataka mabadiliko pia.

inawezekana kupitia lowasa
 
mzee amehutubia kwa weledi sana ana mpangilio na mantiki issue imeisha hapo hakuna kulala ccm mzee wao ni januari
 
Kwa namna ambavyo Magufuli anaichana na kuivua nguo Serikali ya CCM hakuna namna ni lazima wamsusie.Anavyoongea ni kama kila kitu atafanya yeye mwenyewe bila msaada wa mtu yeyote.
 
kingunge tayari kashaxepa tunawasubili wengine
 
Back
Top Bottom