Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

Rais mtarajiwa amesha waambia akina G Sam kuwa KUOTA siyo tatizo na hasa kama ukiota USIKU ni hali ya kawaida..Lkn unapoota MCHANA huku ukiwa macho hujalala ni hatari..inaonyesha una TATIZO katika Ubongo wako..So msimshangae G Sam anathibitisha asemacho Rais anayesubili kuapishwa Dr.JPM

Endelea kuSUBILI
 
Wanamuogopa jamaa! Ataanza na wanaCCM, so wale mafisadi lazima waumize kichwa
 
habari tulizonazo ndio maana wanaogopa kuvunja baraza la mawaziri lakini huu ni mwaka wa mabadiliko na Mungu yuko upande wetu mwaka huu
 
Wewe jamaa, huchoki kuleta uwongo wako.

Juzi ulisema Makongoro Nyerere amekaa pembeni wakati huo huo Makongoro alikuwa katika Jimbo la Chalinze akipiga kampeni.

Hivi unapata faida gani kwa kueneza uwongo?

Kama unaamini kuna Mungu, lazima uelewe kuna malipo kabla na baada ya maisha ya hapa duniani.
Mkuu, jana Makongoro kwa kinywa chake tukiwa Mikocheni aliniambia kuwa anaachana na siasa na hatapanda tena jukwaa la Magufuli! Haya aliyaongea kabla na ndipo akaagiza mzinga mkubwa wa Konyagi akaanza kunywa! Kama unakumbuka nilisema kuwa aliambiwa na vijana wa pale kuwa ulevi umemponza kutwaa nchi na yeye akakiri! Hili la kuagiza mzinga wa Konyagi niliacha kuliandika ili kulinda maadili!!
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.
kila siku siyo jumapili mkuu .
 
Mzee tupatupa ni thinker makini ktk thread hiyo hata ingekuwa mimi ningehitaj malipo ya fasta sio baada ya anguko u know bahat nasibu yes na no yote ni majibu sahihi let's wait n see the chicken n egg situation in lumumba park.
 
Mkuu, labda tulikuwa wote kwenye kikao kimoja ila hatufahamiani!

Japo hiyo inaonyesha uwezekano mkubwa wa hii habari kua na chembechembe za ukweli kama ina maudhui yanafanana na inatoka vyanzo viwili tofauti....
 
Afazali kipasuke ccm police wanapiga sana RAIA NA umafya kwa watumishi wanao dai khaki Zhao kama Dr Ulimboka

1443015028203.jpg1443015041852.jpg
 
CCM wanadhani wao wako salama

Walichokosea wametumia silaha zao muhimu mapema sana

UKAWA watazitumia mwezi huu wa kumi.....
Kila wiki wataondoka vigogo.....Tabiri siku ya Tar 25 itakuwaje


Ninatamani UKAWA, wakasakafie kabisa kila kona ya nchi hii kwa mkakati wao wa kutumia chopa tano.

Ninatamani sana walete competitive international researcher aje ayavue nguo maharamia ya CCM - TWAWEZA.
 
Vigogo watano wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kutoa msimamo wao juu ya ni nini watakifanya juu ya chama chao mwishoni mwa wiki ijayo.

Miongoni mwa vigogo hao yupo kigogo mmoja ambaye ataisambaratisha kabisa jumuiya moja maarufu ndani ya chama hicho.

Wadokezi wangu wameninyetisha kuwa kwa sasa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa ambao haujawahi kukikumba chama hicho tangu kuanzishwa kwake ingawa mambo bado hayajaonekana hadharani.

Baadhi ya vigogo wanatarajiwa kutoa misimamo yao, wapo ambao wamekuwa ni watu wa karibu kabisa kwenye kampeni za mgombea urais wa Chama hicho John Magufuli katika siku za awali ingawa kwa sasa wamejiweka pembeni.

Wiki hiyo kutashuhudiwa kigogo mmoja wa kamati ya maadili ya chama hicho akitoka hadharani na kueleza waziwazi msimamo wake juu ya yaliyotokea ndani ya CCM na mwenendo wake kwa ujumla.

Habari nzito zinasema kuwa mgombea mwenza wa chama hicho bi Samia Suluhu amelalamikia kutengwa kabisa na wanawake wenzake huku wakibaki wawili ambao ni Angela Kairuki na Ummi Mwalimu wakijikongoja pamoja na wasanii mbalimbali.

Aidha hakuna kampeni za baadhi ya makundi kumsaidia mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho zaidi ya Abdulrahaman Kinana pekee huku vigogo wengine wengi wakijichimbia mafichoni jambo lililotafsiriwa kama hujuma dhidi ya mgombea huyo.

Wamrudishe Dr Bunduki aje awasaidie!
 
mbona mkuu hataki kuvunja baraza la maminister?au anamwacha magufuli aendelee kuahidi barabara?hizo ni kodi zetu hatudanganyiki!'
 
G Sam
Wewe ni mwana-UKAWA mwenzangu; ila katika ubashiri kama huu, sikuungi mkono. Mara kadhaa umekuja na kauli za namna hii, lakini hakuna kilichotokea.

Katika fani hii, gamba la mafisiem aitwaye lizabon ni wa kuaminika zaidi.
Upo sawa ndugu,CCM wana mikakati bora zaidi ya UKAWA,ushindi unanukia CCM
 
Afazali kipasuke ccm police wanapiga sana RAIA NA umafya kwa watumishi wanao dai khaki Zhao kama Dr Ulimboka
hata wanaccm wanapiga sana raia .
 

Attachments

  • attachment-5.jpeg
    attachment-5.jpeg
    12 KB · Views: 1,087
Back
Top Bottom