Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!

Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!

Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!

Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???

Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:
Haya mambo ukiwa na upeo wa kawaida ni ngumu kuyaelewa, wanataka wapewe mkoa wao yaani mkoa wa chato. Wahaya wakisema, wanaambiwa misifa. Hawa watu wana long plans for conquering our territory.
 
JF...!
Shalom wakuu! Nimejaribu kupitia article ya mch.Mtikila inayoonesha mbinu chafu za Rais Paul Kagame wa Rwanda dhidi ya Taifa letu, Lakini nimeshangaa kusoma kuwa Mhe.Peter Serukamba wa Kigoma Mjini(CCM) kuwa si mtanzania bali ni Jasusi la kinyarwanda aliyepandikizwa na Rais Kagame kwa kazi maalumu ya ushushushu na kuvujisha siri na nyaraka za nchi kwa kutumia mgongo wa cheo chake kama mbunge na uenyekiti wa kamati ya bunge ya manunuzi.

My outlook:
kama ni kweli je Idara ya usalama inasubiri nini kuchunguza madai haya?
 
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!

Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!

Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!

Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???

Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:
Hatari sana hii, je khali ikoje kwa sasa au hakukua na uhalisia?
 
wameondolewa kwa kusikitisha daah afadhali hawapo tena tunashukuru, maamuzi magumu wangine walikimbia saa kumi usiku hongera JK na Lowasa umeacha legacy kubwa mno
huwenda wamerudi tena kwa wingi zaidi katika ya mwaka 2016 mpaka 2021.
 
SUALA LA DP WORLD NA BANDARI ZETU LIMENIFANYA NITAFUTE UZI HUU NA NIJIKUMBUSHE NONDO ZILIZOMWAGWA NA MTIKILA, R.I.P.
Ujio wake hapa bongo juzi kati ghafla bwana Bernard anakufa, wajeda kadhaa wanafutwa kazi huko Rwanda na DP WORLD inashika hatamu... Kumbe DP WORLD ilikuwepo Rwanda kitambo Sana. Tukiunganisha doti kama Kuna jambo flan hivi.... Anyway ngoja wajuzi waje kuchimbua zaidi
 
Back
Top Bottom