Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Marehemu Rev. Mtikila alikuwa member wa JF.

Kuna mengi aliyajua na kifo chake bado naamini kilikuwa engineered Kigali.

Sijui authorities za Tanzania intelijensia ikoje.

Kuna maswali mengi kuliko majibu.

Tahadhari tu: Simu atakayoenda nayo Samia akirudi asiitumie tena wala simcard yake isihamishiwe kwenye handset mpya.

Some of us have dealt with Kagame at personal levels
 
At personal levels?

Hongera sana mkuu

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Mimi namkubali mno kagame he is tough man in Africa

Washa baba waafrika bila kupelekwa awaendi mnakalia tu kujazana uongo kama amuwezi jiendesha why msiendeshwe

Mfyuuu

Work kagame not all tz hate u neighbor
 
Back
Top Bottom