Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,617
- 15,942
Nimeona watu wengi wakilalamikia kitendo cha baadhi ya raia wanyarwanda wanaopoteza maisha kulalamikiwa kuwa serikali ya Rais kagame inahusika ingawa hakuna ushahidi.
Mimi kwa maoni yangu binafsi kutokana na safari ya maendeleo ya nchi ya rwanda sote tunajua ni damu kiasi gani imemwagika hadi kufikia kuiona rwanda hapa ilipo. Hata mimi ningekua Rais wa rwanda leo nisingekubali mtu yeyote achezee uhuru uliopatikana kwa damu za wanyarwanda.
Rais kagame aachwe aipeleke rwanda "next level " ataondoka watakuja hao wengine ambao hawaelewi nchi imetoka wapi na sasa ipo wapi kwa sasa Kagame ana Haki ya kuitawala rwanda mpaka atakapochoka mwenyewe kwa sababu ameitafuta mwenyewe.