MTEI: Nililipwa Mshahara sawa na Nyerere

MTEI: Nililipwa Mshahara sawa na Nyerere

Nimelewa na Saumu kweli umejuaje wewe ? ni Mchawi nini? Huku kwetu tunafunguwa saa 3 usiku kazi kweli.
Mkuu vipi huu uzi niliuleta hapa mimi toka juzi imekuwaje umeuanzisha upya leo? Mods nao sijui wako wapi!
 
Edwin Mtei akiwa gavana anasema alilipwa mshahara sawa na Nyerere akiwa Rais ili kupunguza tabaka la wenye kipato cha juu kutokana na uadilifu wa mwl. Nyerere ambapo kwa sasa ni vigumu sana.
==================================

Chanzo; Mwananchi
 
Ujinga mwingine unatisha sana,

Hivi Nyerere hata asipochukuwa mshahara alikuwa anashida ipi, nyumba bure, kula bure, kulala bure, na huku anazidi kuiangamiza Tanzania kuwa nchi masikini ya mwisho duniani.

Mtei asitafute umaarufu wa Kisiasa kwa kupitia jina la Nyerere, yeye kwanini aliachia/aliachishwa uwaziri? aeleze ukweli.

Ulipotelea wapi tangu awamu hii ianze?
 
Ujinga mwingine unatisha sana,

Hivi Nyerere hata asipochukuwa mshahara alikuwa anashida ipi, nyumba bure, kula bure, kulala bure, na huku anazidi kuiangamiza Tanzania kuwa nchi masikini ya mwisho duniani.

Mtei asitafute umaarufu wa Kisiasa kwa kupitia jina la Nyerere, yeye kwanini aliachia/aliachishwa uwaziri? aeleze ukweli.
Futa ujinga wako bibi
 
Chuki zako ni udini mtupu huna lolote, na hujaanzia hapa muda wote upo hivyo, wala sihitaji kutoa ushahidi wowote coz umeshazibwa macho, masikio na fikra kwa mitazamo yako ya chuki binafsi.

Nyerere was a great man ever lived in Tanzania, na hakuna unachoweza kubadilisha.
Hakuna kiongozi yeyote hapa Tanzania ataweza kufikia hata robo ya legacy ya Mwalimu Nyerere.
Mwalimu Nyerere sio alikuwa Rais wa Tanzania bali alikuwa miongoni mwa viongozi bora Africa. Sera yake ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa the best kwa watanzania ila watanzania ndio walimwangusha.
 
Watanzania tulimuangusha vipi Mwl.Nyerere kwenye ujamaa?
 
Watanzania tulimuangusha vipi Mwl.Nyerere kwenye ujamaa?
Hili suala la uzawa kushika uchumi wa Tanzania Mwalimu alilitekeleza mara baada ya Azimio la Arusha mwaka 1967. Njia zote za kiuchumi aliwapa watanzania kuziendesha kama RTC, National Milling, Gapex, Kabimita nk lakini mashirika haya kwa usimamizi mbovu wa wazawa yalifilisika.
 
Mbona huyo Mtei, hasemi wapi walitofautiana na Mwl. Nyerere?
Alikuwa mpinzani mkuu wa sera za Ujamaa na kibaraka wa sera za IMF na WB. Alitimuliwa na Mwl. Nyerere, lakini kidiplomasia wakasema amejiuzuru.
 
Big up jembe letu la moshi mtei

Hiyo ndiyo dhambi ya ubaguzi na ukanda...mkiambiwa mnaendekeza ukanda huwa mnakuja juu...pity on you...vijana wa eneo hilo wameambukizwa dhambi hii, kwa kudhani wao ndiyo bora zaidi kuliko wengineTanzania has changed a lot...these are different times...
 
Edwin Mtei akiwa gavana anasema alilipwa mshahara sawa na Nyerere akiwa Rais ili kupunguza tabaka la wenye kipato cha juu kutokana na uadilifu wa mwl. Nyerere ambapo kwa sasa ni vigumu sana.
==================================

Chanzo; Mwananchi
Mtei hajielewi. Hajui Gavana wa BOT analipwa mshahara mkubwa kuliko rais. Yuko wapi huyu MZEE; halafu chagumo wanasifia ati jembe lao. Huu unafiki wa chagudomo ni wakijinga.
 
Uongozi wa sasa kila kukicha wanabuni kodi mpya kupitia kwa wakala wao wafanya biashara ambapo kimsingi mlipaji ni mlaji ambao ndio masikini na mafukara
 
Back
Top Bottom