Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Ujinga mwingine unatisha sana,
Hivi Nyerere hata asipochukuwa mshahara alikuwa anashida ipi, nyumba bure, kula bure, kulala bure, na huku anazidi kuiangamiza Tanzania kuwa nchi masikini ya mwisho duniani.
Mtei asitafute umaarufu wa Kisiasa kwa kupitia jina la Nyerere, yeye kwanini aliachia/aliachishwa uwaziri? aeleze ukweli.
mmeanza kumkataa hadi nyerere!! Kweli ccm ina laana
chama chenu kinaishi kwa neema za nyerere tu