MTEI: Nililipwa Mshahara sawa na Nyerere

MTEI: Nililipwa Mshahara sawa na Nyerere

Mzee umechoka pumzika, Maelezo yako yanadhihirisha ulivyo na hata Chama chako pia. Bila aibu unawaambia watz Kuwa ulipunguza mshahara wako kwa Kuwa Mwalimu Nyerere alipunguza wa kwake na kwa kuona Kuwa usingefanya hivyo mshahara wako ungekuwa mkubwa kuliko was Mwalimu, kumbe hukusukumwa na uzalendo wala huruma kwa wananchi wa kipato cha chini, una tofauti gani na wale waliopunguziwa kwa nguvu? Huu ni unafiki usiovumilika kusikika masikioni. Eti Huyu ndio mwasisi wa Chama mbadala! Tumekusikia Mzee hatutafanya makosa kamwe.

Hivi umeomba ushauri kwa mumeo kabla ya kuandika bandiko lako?ngoja nikuache maana saizi yako ni vilaza wenzako
 
Hiyo ndiyo dhambi ya ubaguzi na ukanda...mkiambiwa mnaendekeza ukanda huwa mnakuja juu...pity on you...vijana wa eneo hilo wameambukizwa dhambi hii, kwa kudhani wao ndiyo bora zaidi kuliko wengineTanzania has changed a lot...these are different times...
mkuu usiweweseke mmi nimeoa moshi usitokwe povu kisa kumpa shavu mzee mtei
 
Ewe punguani, hao viongozi wa zamani waliwafanya masikini wakapange mawe kwenye foleni saa 8 za usiku mpaka siku ya pili hawajui hiyo foleni watakipata nini siku hiyo unga wa ngano, wa yanga, mchele au sukari au waambulie betri za national.

Nyerere aliwahamisha watu makazi na vijiji vyao vya asili akaenda kuwatupa maporini, walioliwa na simba haya, walioliwa na chui haya, waliogongwa na nyoka haya. Waliokufa kwa kukosa tiba haya, waliokufa kwa njaa ndio usiseme.Watu wamekula majani, wamekunywa maji ambayo hata ukimpa ng'ombe anayakataa.

Watu wanaishi ndani ya nyumba mume anamuogopa mke, mke anamuogopa mume. Hawana uhuru hata wakuyatoa ya moyoni.

Ukitembe ana kikapu njiani, mgambo wanakusimamisha kukuuliza umebeba nini, wakikukuta na kilo mbili za mchele au sabuni ya lux ni kosa la kuwekwa detention bila kuulizwa wala kupelekwa mahakamani.

Nyama kwenye mabucha ni foleni na utachukuwa unayopewa bila kuchaguwa, kama siku hiyo ni nusu kilo, haya tena, ugongewe kwenye kadi yako ya resheni usirudi mpaka wiki ijayo.

Halafu eti anajidai kukata mshahara wake huku anajichekesha bila mpango.

Ewe punguani hiyo ndiyo huruma? Huyo mzee Mtei anabwabwaja na kuhororoja tu, yeye alikuwa katika elites wa Nyerere waliofaidika na huo udhalim wa siku hizo, hayo nnayokueleza hayajamkumba, muulize alikaa hata siku foleni ya sukari?

Punguani wahed.
wewe bibi naona umezeeka vibaya,naona una chuki binafsi na nyerere na mtei
hii inachagizwa na udini wako
maana nakufahamu we n mdini kupindukia foolish bibi we
huna adabu kwa wazee wa taifaa hili
 
Unasema mengi mabaya kuhusu Nyerere lakini ukweli ni kuwa una chuki ya kidini, ewe shet.wany.

Hata kama asingekuwa analipwa kuna maraisi wangapi wa Afrika waliofanya kufuru, Nyerere angekuwa na roho ya kishetw..any kama yako asingesubiri hata mshahara.
mkuu n kweli mtupu,hiki kibibi kina chuki ya kidini na sii vinginevyo kinadiriki kumshambulia nyerere bila aibu
ukitaka kuamini,wakati wa kikwete kutwa nzma alikuwa anashinda jf kutetea ccm
MBNA sasa hivi wakati wa mh jpm haitetei tena? simply udini hiki kibibi n cha kupuuza
 
Jamani lini tutaacha ushabiki? Wakati mwingine tutumie akili ya kawaida kubishana wakati aliyoyasema Mtei ni mambo ya msingi na hayagusi vyama kabisa. Yana akisi utaifa mbele na si vinginevyo.

Kuhusu Nyerere hata asipochukua mshahara alikuwa na shida ipi? Jamani! Kama rais hana shida kwa vile anapewa kila kwa nini wanalipwa mshahara wa zaidi ya mil.30?
hili ndio tatizo tulilorithishwa na mchattle, kitu kidogo unaweza siasa ndani, maslahi ya wananchi aah, ndio maana pesa zetu mpaka leo hatujapewa manake tulikuja na speed na break za vijibwa, pesa iko wapi, ndege yetu inaozea huko, na tukitoa na hiyo nyingine nayo wanaidaka, ubabe wetu ni hapa tu nje ni sifuri
 
Nitajitahidi kukuelimisha kwa sababu nijiendeleza kwa kadiri ya uwezo wangu wote kwa faida ya wote ukiwemo wewe. Kumwelewesha mtu anayejua kuwa anajua wakati hajui ni kazi ngumu. Ni vizuri ungeanza kwanza kuangalia kiini cha tatizo kabla hujamlaumu mtu binafsi. Sio Nyerere aliyeficha bidha bali nchi haikuwa na viwanda vya kutosha. Nyerere alitaka kujenga uchumi wa kujitegemea wakati viongozi wako wa sasa wanaamini katika kutembeza bakuli kuomba misaada. Nchili wekewa vikwazo na nchi tajiri ili isiweze kujitegemea. Hali ya kupotea kwa bidha na kuwa na mgao ni matokeo ya vita ya Kagera sio sababu ya Nyerere. Wakati nchi inavamiwa na Nduli Idd Amini ungetegemea Nyerere afanye nini? Nadhani kwa akili yako ungeona sawa watanzania wenzetu wa Kagera watekwe.
Msingi wa operation Sgeza ulikuwa na lengo la kuwaweka wananchi pamoja kwa nia ya kuwapa huduma za maji elimu na hospitali kw aurahisi zaidi, lakini kila jambo jipya liwe zuri au baya ni lazima wapinzani watakuwepo, sio lazima wawe wengi lakini wapo. Ni kama wewe tu unayeng'ang'ania kushinda hata pasipokuwa na hoja. Unaona tofauti na wenzako wanavyoona (hallucination). Hali hii huwatokea wenye matatizo ya Afya ya Akili. Wapo watu wanaokataa kuchemsha maji ya kunywa ati wamezoea tangu enzi za mababu zao. Wapo watu hadi leo serikali ikiwapa chandarua wajikinge na mbu ili kuzui mbu wasiwaume, ili kupunguza uwezekano wa kuambukizwa na malaria hutumia chandarua kuvulia samaki au kuzuia mwewe wasichukue vifaranga wa kuku. Mpo wengi hauko peke yako. Hata kama mpango huo ulikuwa na madhara madogo machache lakini ulileta mafanikio makubwa. Katika transformation yoyote huwezi kuepuka madhara angalao kidogo. Kuna wakati inabidi ukose mtoto aliyeko tumboni ili kuokoa uhai wa mama. Kufanya hivyo ni busara kuliko kuacha wote wapotee. Pengine kwa akili yako utachagua kuwaacha wote wafe. Kwangu mimi ilikuwa ni busara na wala haikupangwa, wengine wapate madhara ili maendeleo kwa wengi yapatikane. Mapinduzi yoyote ya maana lazima yawe na madhara .Hata dawa iwe nzuri namna gani haichi kuwa na side effect. Kama haujaelewa niulize tena nitakusaidia nina uzoefu wa kufundisha wanafunzi wazito kuliko wewe.
mkuu usiangaike n hiki kibibi
udini ndio unamsumbua anamshambulia Mwl nyerere kisa udini fwatilia histories ya post zake uone
 
Uwe unasoma na kuelewa kabla Ya kupost, Mshahara wake ulikuepo kisheria na sheria ilikua inamlinda asiguswe na mamlaka yoyote ile juu mshahara wake. Hivyo uamuzi wa kupunguza kipato chake ilikua ni heshima kwa mkuu wake na kwa wananchi.

Je, kwenye CCM Ya sasa nani anaweza kupunguza mshahara wake kwa hiyari achilia mbali kwa lazima.?
Siyo ccm tu hata hicho chama alochokiasisi hakina watu kama hao. Pesa za ruzuku zinapogwa hata ofisi ya maana hwana
 
Nitaweka hadharani salary slip yangu ili kuonyesha mshahara wangu ni milioni 9.5 kwa mwezi. Baada ya kugundua mshahara wake ni zaidi ya 33 millions kwa mwezi tena bila kodi akaamua kuuchuna kimyaaa!
 
mkuu usiweweseke mmi nimeoa moshi usitokwe povu kisa kumpa shavu mzee mtei

Uwe umeoa huko au vipi lakini huo ndio ukweli...dhambi ya ubaguzi imeambukizwa kwa vijana wengi wa kanda hiyo kujiona kuwa pengine eti ndio wanaodaiwa kujitambua....it is too bad...
 
Ivi Mnatumia matako kufikiri? Rais wa awamu ya tano JPM alipoingia hakupunguza mshahara wake toka 40,000,000/=na kubaki 9,000,000/= ? Alipowagusa wabunge wakiwemo wa chagadema nani alikubali kupunguza? Acheni ushabiki tunaye rais wa wanyonge naye si mwingine ni JPM
 
Uwe umeoa huko au vipi lakini huo ndio ukweli...dhambi ya ubaguzi imeambukizwa kwa vijana wengi wa kanda hiyo kujiona kuwa pengine eti ndio wanaodaiwa kujitambua....it is too bad...
naona una chuki binafsi na shemeji zangu,either n kwasababu wapo vizuri kiuchumi au hata kieimu
au vinginevyo pambna na hali yako mkuu,huwez kuondoa umaskini kwa kumchukia tajiri
 
Nyerere hakuwa mhuni, wanaogombea urais hivi sasa wote ni wahuni na wanawekwa na wahuni wenzao, Mtu kama Rage au Kinana eti ni viongozi tegemea watachagua viongozi aina gani?
Watachagua akina Bashite na vichaa wore waKanda yote ya samaki na Ng'ombe
 
Ujinga mwingine unatisha sana,

Hivi Nyerere hata asipochukuwa mshahara alikuwa anashida ipi, nyumba bure, kula bure, kulala bure, na huku anazidi kuiangamiza Tanzania kuwa nchi masikini ya mwisho duniani.

Mtei asitafute umaarufu wa Kisiasa kwa kupitia jina la Nyerere, yeye kwanini aliachia/aliachishwa uwaziri? aeleze ukweli.
Tatizo unafikiri kwa kutumia makalio badala ya kichwa
 
Huyu mzee anaona sifa! Aliona sifa kulipwa mshahara sawa na Rais?kama Rais alipunguza wake kwa nini yeye hakupunguza pia!mzalendo gani huyu? Ushauri gani anatoa wazalendo tumsikilize?
 
naona una chuki binafsi na shemeji zangu,either n kwasababu wapo vizuri kiuchumi au hata kieimu
au vinginevyo pambna na hali yako mkuu,huwez kuondoa umaskini kwa kumchukia tajiri

You are missing the point ....sina chuki nao...ila nashangazwa na arrogance attitude ya baadhi yao...wako vizuri kielimu na kiuchumi?????!!!! I am not quite sure kama kauli hii bado ina ukweli..Inawezekana kwa miaka ishirini iliyopita walikuwa vizuri kielimu na pengine kiuchumi....Lakini hiyo ni historia...utagundua hilo kwa kuangalia idadi ya waingiao vyuo vikuu na shule zinazofanya vizuri kitaifa...mambo sasa ni bam bam karibu kila mkoa....
 
wewe bibi naona umezeeka vibaya,naona una chuki binafsi na nyerere na mtei
hii inachagizwa na udini wako
maana nakufahamu we n mdini kupindukia foolish bibi we
huna adabu kwa wazee wa taifaa hili
Kipi katika post yangu ambacho si kweli?

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom