Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

Unaweza kuwa sawa ingawa sikubalini na mantiki yako. Si kweli kuwa ukiwa na mali nyingi ni lazima ulipe kodi kubwa. Tunaona mabilioni walio nayo wawekezaji (fikiria makampuni ya madini, makampuni ya simu) lakini ni kodi kiasi gani kinalipwa? Wakati mwingine kodi ni suala la profitability zaidi kuliko kiasi assets ownership.
 
- Wewe wacha hizo alimshangia hizo pesa wapi wewe ulikuwepo au unasikia tu ya kuambiwa, Mzee Mbowe alikuwa ni Mlinzi wa hiari wa Mwalimu akijua kwamba Mwalimu akitoka na yeye anatoka and that is what happened, wacha kulishwa maneno msiyoyajua, Utajiri wa Mzee Mbowe haukuwepo kabla ya Mwalimu kushika dola, nyamaza maana hujui unachokisema!!

LE Mutuz

Ha ha ha,Mkuu Baharia acha stori za vijiweni,unaposema alikuwa mlinzi wa hiari wa Mwalimu unalazimika kutuaminisha kuwa alikuwa mwajiriwa wa selikali chini ya wizara ya mambo ya ndani,ema kwa taasisi ya USALAMA au vyombo vinginevyo vya usalama. Sasa tujibu maswali haya
1) Aliajiriwa lini na alitumikia nafasi hiyo mpaka lini?
2) Kwa wakati huo nchi ilikuwa chini ya itikadi za kijamaa,sasa tuambie huyo mtu aliweza vipi kufanya biashara/lini alianza kufanya biashara na kuachana na kazi yake hiyo?
Ikumbukwe kwa wakati huo ilikuwa ni mwiko kwa mtumishi wa umma hasa kwa nafasi kama yake kufanya biashara. Tupe majibu tuendelee
 
Mimi najua unamtajataja sana Mbowe kwasababu mmelingana umri lakini bahati mbaya kwako bado unatunzwa na baba yako at your age of 55 yrs

Mkuu, naamini CCM hata wanapropaganda wazuri hawapo tena au waliopo wanapuuzwa. Mtu anakuja na habari eti mtu ana mali nyingi..eti kodi anayolipa hailingani na kipato chake...What the heck?? manake kama unataka watu wakuchukulie serious embu toa data ambazo mtu timamu yoyote hawezi uliza-uliza maswali..!

BTW, Hivi huyu jamaa ana huo umri KWELI???
 
Hivi unaijua historia ya ukoo wa mbowe? Acha kukurupuka kajipange upya! Pia fanya utafiti wa kutosha na tumia data kujenga hoja zako otherwise sisi critical thinkers tunakuona unaongea umbeya tu badala ya ukweli! Mwanaume mzima unakuwa mbeya tutakuvalisha khanga ukiendelea kushabikia maneno ya kimbeya!
 
Mkuu, kwa hiyo unatuambia kuwa Mbowe alitafutiwa kazi BoT na baba yake kwa sababu alikuwa maarufu anajuana na watu serikalini, nchi hii majanga nilidhani alipata kazi kutokana na elimu yake.

Ninasema kama KAZI BOT sio MTEI; kupingana na Mtoa hoja kuwa ni MTEI aliyempatia hiyo kazi ndio nikatoa mfano huo
 
- Huu ni utetezi wa mtumzima mwenye akili timamu anajaribu kuutoa kwa watu wengine wazima na wenye akili timamu, sad unaona Chadema mkishikwa kwamba ni waongo na wanafiki wakubwa, hamjashika dola Mwenyekiti ana uiwezo wa kuwauzia magari yake ya binafsi, na mkishika dola itakuwaje? Aibuu sana wakuu wangu!!

Le Mutuz

Kwani wewe ndiye binti mwanambozi au mnashare ID hapa JF? Na wewe huko kwenu ugogoni ni ajabu mwanamke kupachikwa mimba na mwanaume? kwa kadri ninavyowafahamu wagogo sidhani kama hilo ni tatizo na sitarajii liwe tatizo kwako hata kama ulipata zero.
 
Balali na CCM wenyewe wanamiliki nini?

Mbowe si kila siku mnamponda hapa eti std seven alikuwa na cheo gani BOT hadi kuweza kuchota Pesa?
mbona Mwigulu aliajiriwa BOT naye ana mabilioni?

kuajiriwa BOT haikufanyi uwe na Mabilioni.

Mkuu usimsahau MWIGULU NCHEMBA
 
March 20, 2008

EPA Scandal: Recover the Loot, just don't Prosecute?

BOT Bank of Tanzania

In the last few weeks, the Tanzanian government has come under intense pressure from the public, activists and the media to explain why it was quietly recovering money that was misappropriated under the External Payment Arrears (EPA) account operated by Bank of Tanzania (BOT), the country's central bank (pictured left).

The public demands the release of names of people involved in the scandal and their immediate prosecution. The EPA scandal consists of fraudulent payment of about TSh133 billion ($116 million) made by the Bank of Tanzania to 22 companies in the financial year 2005/06 involving the repayment of the country's external debt.

As of last week, according to a government pronouncement, nearly half of the money (Tsh 60 billion) had "mysteriously" found its way back into State coffers. The Attorney General and the Inspector General of Police have refused to disclose the names at this stage, pleading for patience because the investigation is still going on.

Speculation has been rife as to why the government would rather recover the loot than prosecute. While others believe the government may be shielding the culprits, the most plausible reason seem to be that the government has figured out that it has a weak case against the culprits in a court of law. It may well be that the EPA contracts the government signed are so weak and with little teeth to enable the prosecution of abusers of the debt servicing vehicle. The worst case scenario will be that the contracts were intentionally weakened by its framers, while eluding the watchful eye of IMF. Therefore, this may yet be another scandal (similar to the mining contracts that later had to be renegotiated), that will expose weaknesses in contract negotiation and contract drafting skills by the country's State attorneys, and possible corrupt elements within the government who are short-changing public interests.

The scandal has already claimed the Governor of BOT as its first casualty. Daudi Balali was fired by President Kikwete back in January after he was implicated in the investigative reports carried out by Government's Controller and Auditor General (CAG) and the accounting and audit firm, Ernest & Young. The President has been on an anti-corruption crusade lately. He dissolved his government last month after another multimillion dollar scandal blew up over emergency electricity power supply contract, engulfing his Prime Minister and two cabinet ministers who were subsequently forced to resign.

What are your thoughts? Do you trust the government when it says it is doing the right thing to recover the swindled money and deal with prosecutions down the road?
 
Soma vizuri hoja uielewe.

Connect the dots...

Ndio nasema there is no truth in any of the Connection just as usual WITCH HUNT; Kwa wa CCM ni WEZI; MAFISADI na Hautaki kuweka any connection

Umesahau MBOWE pia anamiliki AISHI MACHAME HOTEL... Ambayo inajaa na WATALII wanaopanda Mlima kilimanjaro wanaopitia njia ya MACHAME?

Muulize WILLIAM MALECELA jinsi hiyo HOTEL ILIVYO TOP CLASS na Wameingia UBIA na KAMPUNI YA MAHOTELI YA SOUTH AFRICA ambayo pia Wanaiendesha OYSTERBAY HOTEL...

Sasa ni zaidi ya Miaka 10 hiyo kampuni wanaiendesha hiyo HOTELI sasa Unadhani kwanini asiwe na hiyo NYUMBA DUBAI? wakati LAU MASHA alikuwa kwenye siasa kwa Miaka 5 tu ana HEKALU PRETORIA SOUTH AFRICA... in a secluded area...

Kama kweli Mnaipenda Nchi yenu kwanini Mnakuwa BIAS??? Wachimbe wote wanaochota pesa --- JUMA NGASONGWA ana NYUMBA DUBAI

Na Usiku kweli Unalala salama na kujiona wewe ni MKWELI MBELE ya MWENYEZI MUNGU?

Lakini nyie Mnafanya a witch hateful hunt... what goes around comes around...
 
Kweli kuwa na akili ndogo ni mzigo kwa mtu binafsi, jamii, taifa na dunia nzima. Wakati watanzania wanatakiwa kufanya mabadiliko ya msingi ili kwenda sambamba na kasi ya maendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi inashangaza kuona idadi kuwa ya watu kama mleta mada wakiwajadili watu badala ya nini kifanyike ili nchi yetu nayo ing'are duniani! Watu hawatakuwepo milele ila nchi ipo tu inawasubiria wengine waje!
 
Naona umeanza kuandika vitu kama mtu aliyepoteza fahamu sasa!!!
 
Huu ni uzushi,uzandiki na uchonganishi pia! Mnashindwa kujadili mafisadi wenyewe, mnajadili vivuli vya mafisadi. Kweli lumumba mna taabu kwelikweli!
 
Kweli kuwa na akili ndogo ni mzigo kwa mtu binafsi, jamii, taifa na dunia nzima. Wakati watanzania wanatakiwa kufanya mabadiliko ya msingi ili kwenda sambamba na kasi ya maendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi inashangaza kuona idadi kuwa ya watu kama mleta mada wakiwajadili watu badala ya nini kifanyike ili nchi yetu nayo ing'are duniani! Watu hawatakuwepo milele ila nchi ipo tu inawasubiria wengine waje!
Unafikiri ni akili ndogo hawa wote wanaoitetea CCM ni Madaktari,Wahasibu,Walimu na Maprofesa lakini michango yao kama watoto wa darasa la pili.
 
Acha ushamba wewe, Baba yake Mbowe mwenyewe alikuwa ni tajiri, alikuwa anaendesha benzi enzi za mwalimu na ilikuwa mpaka kwenye vifungio vya gari na vifaa vingine vya gari vilikuwa vimeandikwa jina lake, Sasa unashangaa vipi Mbowe kumiliki mabilioni ikiwa ni Mfanya biashara na hajawahi kutumikia nafasi yeyote ya juu kwenye serikali hii.

Ulitakiwa uwaongelee wakina Lowasa, Kikwete, Rostam, Chenge, na wengineo sio kumshangaa Mbowe

tuondolee huu ujinga uliouweka hapa,
 
Naona umeanza kuandika vitu kama mtu aliyepoteza fahamu sasa!!!

Here we go again... ukiona UKWELI na UNASHINDWA KUJIBU -- Unautangazia ULIMWENGU KUWA HUYU MTU HANA AKILI HAJIFAHAMU MSIMSIKILIZE sababu ana Ukweli na Ukweli wake utatumalizia ULAJI NDANI YA CHAMA CHETU kwahiyo tumuite HANA FAHAMU...

Sasa ni VITU GANI NIMEANDIKA KAMA MTU ALIYEPOTEZA FAHAMU??? BE REAL!!!
 
Mkuu,

Jikite kwenye hoja...
 
Mkuu asikudanganye mtu; kufika hizo level haimaanishi kuwa mtu akili yake ni kubwa....!! Utofauti kati ya akili kubwa na akili ndogo upo kwenye matendo, maneno na kukabiliana na changamoto za kila siku!

Kuna watu ni maprofesa lakini wanafanya madudu ambayo hata aleishia chekecheka hawezi kufanya! Madarasa si kipimo cha akili!

Unafikiri ni akili ndogo hawa wote wanaoitetea CCM ni Madaktari,Wahasibu,Walimu na Maprofesa lakini michango yao kama watoto wa darasa la pili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom