ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
- #161
Inaelekea unaijua sana BOT na mambo yake, ebu tusaidie kutufafanulia maana tunasikia tu kuwa kuna mabilioni yalichotwa kwa ajili ya kampeni ya ccm; na mpaka sasa sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa ccm akikanusha au kutoa ufafanuzi juu ya jambo hili, leo nadhani wewe kwakuwa ni mpiga debe wa ccm japo naamini wewe binafsi hunufaiki moja kwa moja na pesa zile zaidi ya posho kidogo unayolipwa kwa siku (deiwaka) kutokana na kuleta mada kama hizi za kizembekizembe. Lakini naamini unaweza kutusaidia kuhusu swala hili, ni kiasi gani ccm ilijichotea kwa kampeni hizo? TUNAUCHUNGU MNO!!!!!!!!!!!
Uko nje ya mada...