William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
By Mwita Maranya![]()
![]()
Wakati unapokuwa unajitahidi kuitetea ccm na serikali yake uwe unaongeza umakini kidogo.
Sasa twende hatua kwa hatua kwa kunijibu maswali yafuatayo.
1. Mtei aliacha kazi BOT mwaka gani?
2. Mbowe aliajiriwa BOT mwaka gani na katika nafasi gani?
Ukinijibu haya maswali mawili kwanza ili baada ya hapo ndipo ywende mbele hatua nyingine.
- Unajua mnapojifanyaga mnajua sana kuhusu Chadema huwa ninawashangaa sana, Mbowe anayajua haya siku nyingi sana, alipotaka kugombea urais uchaguzi uliopita kuna wasamaria wema toka CCM walimuonya kwa siri mapema sana kwamba this time uchafu wake utaanikwa hadharani kama atagombea, ndipo aakaamua kumuachia Dr. Slaa at a very late time bila ya kusema sababu inayomfanya kumuchia Slaa dakika za mwisho.
- Chadema sio chama chenu nyie kina wenyewe na ndio hawa kina Mbowe na Mtei, ndio wenye chama. Mwenyekiti wenu wa Chadema anawezaje kuwa na majumba nje ya nchi? Yaani it does not make any sense at all kwa mtu anayelia kila siku kwamba ni Mzalendo, na kwamba yupo tayari kufa kwa ajili ya wananchi I mean in the wake of this all that is bullshit!!
- Halafu mimi narudia tena naomba anayejua ukweli auweke hapa kwamba ni wapi Mwenyekiti wenu amepata hizo hela za kuwa na majumba nje ya nchi, auweke hapa uhalali wa mapesa yake kwa sababu that is incredible, only in Tanzania sasa imagine kama Zitto asingejilipua on this tungejuaje? Binafsi I know the guy since we were kids, I am shocked kusikia kwamba na utajiri wa ajabu kiasi hiki kwa biashara gani? Please!!
- Sasa ndio ukweli unajiweka wazi kwamba ni kwa nini Zitto anachukiwa sana huko Chadema, kumbe mnajua akiwa Mwenyekiti haya yote atayatolea ufafanuzi bila kuogopa na itakuwa aibu!! Knowing Mbowe as I do najua kwamba ana utajiri najua hata size ya utajiri aliokabidhiwa na Marehemu baba yake, lakini utajiri wa kuwa na majumba nje ya nchi, no way something is a big miss hapo!! na anahitaji kutoa maelezo makubwa na mazito ya kina kwamba amepata wapi hizo mali tena kwa haraka haraka hivyo!!
- Mtei hana mali nyingi sana wala sio siri, lakini huu utajiri wa ajabu wa Mwenyekiti wenu umenishitusha sana!!, halafu kama hamna hoja nzito za kumtetea ni bora mkanyamaza kwa sababu kwa tunaomjua inashangaza sana kusikia jamaa ana this kind of utajiri, I mean kuna mjinga mmoja kule juu nimeona anasema Mbowe aliachiwa hayo majumba na baba yake, pure nonsense!! nyamazeni tu!!
Le Mutuz