Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

Sijui kwa nini watu wanaaacha kuwa objective wanaweka Udini mbele badala Utanzania na Katiba ya nchi kwanza- MOU NI TATIZO KUBWA SANA. KAZI ZA MASHULE WANAWEZA KUYAFANYA HATA MITYCOON SASA SIJUI ITAKUWAJE WAOMBE RUZUKU SERIKALINI WAKATI WANAFANYA BIASHARA NA WANAPATA FAIDA NENE!
 
Natumaini unapozungumzia wadini wa kikristu unazungumzia wakina Fundi Mchundo. Kwa hali hiyo, ngoja nikujibu, ewe mdini wa kiislamu:
  1. Hadithi ya Waberoya mahali pake si shule za vidudu bali humu humu kwenye wale wanaojiita Great Thinkers. Hadithi imeweka wazi kuwa tofauti na nyie ( wewe, Mkandara n.k.) ambavyo mngetaka kutuaminisha, ni waislamu wengi tu wanaofaidika na hizo huduma zinazotolewa na makanisa.
  2. Kwa hiyo serikali inapotoa agizo kuwa majengo yake yahakikishwe kuwa yanaweza kutumiwa na wenye ulemavu kwa kuwawekea lifti n.k. inavunja hiyo ibara ya katiba ambayo mnai-misinterpret kwa makusudi? Au inapoelekeza juhudi zake katika kuwapatia makabila yanayohamahama elimu na huduma basi nako ni kukiuuka hiyo ibara!
  3. Mnashindwa kutueleza kwa namna gani serikali kwa kuchangia (mnavyodai) juhudi za tiba na elimu zinazofanywa na maknisa ni upendeleo kwa wakristu. Hivi hizo shule na hospitali zinatibia wakristu peke yake? Au mnaona ni upendeleo kwa sababu tu hizo hospitali na shule ni za wakristu?
  4. Mnatuambia kuwa serikali inatoa Sh. bilioni 10 kwa mwaka kuhudumi shule hizi mkisahau kuwa ukarabati wa nyumba za mnaibu magavana wa BOT uligharimu takriban bilioni 5. Sasa bilioni kumi kwa jumuia yenye vyuo vikuu (Tumaini, St. Augustine, St. Joseph, n.k), mahospitali makubwa (Bugando, KCMC n.k.), shule za sekondari kibao (Loyola, St. Joseph, St. Marian n.k.), vijidispensari kibao nchi nzima zitafika wapi!
  5. Wakati mkilalamikia mnachoita upendeleo huo, mnasahau kuwa unahusu shule, hospitali n.k. ambazo jumuia hizi zilijenga, zikatekwa n serikali, zikaachwa ziharibika halafu zikarejeshwa zikiwa hoi bin taaban! Mnasahau kuwa wislamu mlipewa bure Chuo kilichojengwa na shirika la umma bila wengine kulalamika.
  6. Mkandara anulizia kwa nini Tambaza haikurudishwa kwa Aga Khan. Mbona hostel imerudishwa? Mbona Zanaki imerudishwa? Halafu umetembelea hivi karibuni hiyo Tambaza uone hali yake? Haujiulizi kuwa pengine Aga Khan aliweka masharti magumu ambayo serikali iliyashindwa kwa Tambaza. Haujiulizi mbona Azania, Kisutu na Jangwani hazijarejeshwa? Wakati huo huo mnasahau kuwa wakati St. Xavier inageuzwa Kibasila, St. Joseph inageuzwa Forodhani; Mzizima (Aga Khan), Shaaban Robert na Kinondoni Muslim ndio zilikuwa shule pekee za sekondari za private jijini Dar es Salaam. Yote hayo hamkuona kama upendeleo unaosigana na Katiba!
  7. Tutolee mfano mmoja duniani ambako mashirika ya kikristu yamekataa kutoa huduma kwa ajili ya kushinikiza serikali. Mmoja tu. Kuna nchi nyingi tu ambako mashirika haya yanafanya kazi katika mazingira magumu (wengine wameuawa kwa kuonekana wanapingana na serikali) lakini hawajakataa kutoa huduma maana wanaona huo ni wito kutoka kwa Mungu wao. Tuambie wakati wa mgomo wa madaktari wazalendo wenye uchungu na nchi, hospitali ngapi zinazoendeshwa jumla na wamisheni zilikataa kutoa huduma! Zilizojiunga katika upuuzi huo zilikuwa ni zile ambazo serikali ina hisa.
  8. Unasema dawa ni serikali kuchukua hizo bilioni 10 na kujenga hospitali, dispensari, shule na vyuo vyake. Hivi unadhani hospitali ngapi zinaweza kujengwa, kuwekewa vifaa na kuendeshwa kwa hizo bilioni 10?

Ukiondoa lugha aliyoitumia hapo mwisho, Waberoya amewaambia ukweli ambao hamtaki kuusikia. Kama huo si udini mnaojifanya kuupiga vita, basi sijui maana yake.

Amandla.......

ningependa kukujibu kama hivi ifuatavyo.

(1) Katika shule zilizotaifishwa na serikali, shule zilizorudishwa ni za taasisi ya Kikristu tu, shule ya Taasisi nyinginezo kama vile AgaKhan Serikali haijazirudisha- WEWE UNAZUNGUMZIA KURUDISHWA KWA HOSTELI YA TAMBAZA/ZANAKI, LAKINI NI JAMBO LILO WAZI KWAMBA HOSTELI SIYO SAWA NA SHULE NZIMA, NI VIGUMU KULINGANISHA KURUDISHWA KWA SHULE KWA TAASISI MOJA WAKATI TAASISI NYINGINE UKIWARUDISHIA HOSTELI TU, HAYA MAHASEBU HAYAPANDI.

(2) Unasema kwamba shule za Kikristu zinatoa elimu kwa watanzania wote, Labda nikukumbushe tu sababu mojawapo iliyotolewa ya kuzitaifisha shule hizi kwamba ILI KUTOA NAFASI SAWA KWA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI ZAO!- SASA SWALI NI JE kumbe basi hapo awali huduma ya shule hizi iliwalenga zaidi kuwanufaisha watu wa Imani fulani fulani, JE FALSAFA/MALENGO HAYO KWA SASA YAMEBADIRIKA?- binafsi ninaona hapana, kwa sababu shule nyingi za Kidini zinatoa priority kwa Wanafunzi wenye Muelekeo wa Imani zao. SHULE NYINGI ZA KANISA ZINA WAISLAMU KIDOGO KIDOGO SANA. Na pia shule za Kiislamu zina Wakiristo kidogo kidogo sana. KWA HIYO PALE SERIKALI INAPOINGIA MOU NA TAASISI MOJA, NI DHAHIRI INAKUWA INDIRECTLY INAWANUFAISHA WATU WA IMANI MOJA KWA MGONGO WA WENGINE KINYUME NA KATIBA YA NCHI- solution ya Suala hili siyo kuingia MOU na Kila Special Interest Group- SOLUTION INAKUWA NI KWA SERIKALI KUJENGA UWEZO WAKE BINAFSI NA KUHAKIKISHA INAKUWA NA VITU VYAKE VYENYEWE VITAKAVYOTOA HUDUMA BILA KUBAGUA KWA MISINGI YA DINI AU RANGI.

(3) Kuhusu Kupewa Kwa Chuo Cha Morogoro, Actually hiyo ilitolewa ili Kuzima kelele za Injustice ya MOU ambayo taasisi za Kikristo zilikuwa zikipewa MABILIONI YA SHILINGI huku serikali ikibweteka katika kujitafutia taasisi zake yenyewe. lakini hata hivyo thamani ya chuo hicho cha Morogoro ni MINUTE kulinganisha na MAPESA endelevu ambayo TAASISI za Kikristo zimekuwa zikipata, kabla na hata baada ya chuo hicho kupewa Waislamu. KIUFUPI HICHO CHUO KILITOLEWA ILI KUWAZIBA MIDOMO WAISLAMU ILI WATU KAMA NYINYI MJARIBU KUFICHA INJUSTICE ZA MOU YA SERIKALI NA KANISA KWA KUTOLEA MFANO CHUO HICHO.

(4) Kwa maoni yangu ni kwamba SINA TATIZO KWA KANISA KUENDESHA MASHULE YAKE NA KUWANUFAISHA WAUMINI WAKE(JAPO HUWA WANAWEKA NA WAISLAMU KIDUCHU ILI KUTAFUTA LEGITIMACY MBELE YA JAMII), TATIZO LANGU NI KWAMBA WASIMAME KWA MIGUU YAO, NA SI KWA PESA ZA UMMA WOTE.

(5) Ni kazi ya Serikali KUSIMAMA KAMA SERIKALI NA SIYO KUENDESHA NCHI KWA HISANI YA TAASISI YA YA MAKUNDI YA KIDINI AMBAYO FIRST AN FOREMOST HUDUMA ZAKE NI "WAKIRISTO FIRST THEN WAISLAMU WATAJAZILIZIA" Au " WAISLAMU FIRST THEN WAKIRISTO WATAJAZILIZIA". NAZUNGUMZIA MASHULE NA VYUO KATIKA POINTI HII.
 
Objectivity is in the eye of the beholder.

Kwangu mimi mtu anayelinganisha The Holy See na OIC si objective wala kidogo. Moja ni nchi na nyingingine ni jumuia. Ni kama kulinganisha maembe na machungwa. Halafu mtu huyo huyo aendelee Jumuia ya Madola ni ya kikristu kwa vile symbolic head wake ni Malkia wa Uingereza ambae ni Mkuu wa Church of England (sio Anglican Church, ambalo halina Mkuu. Kiongozi wake ni Askofu wa Canterbury). Huyu mtu objective aseme hivyo bila kuangalia historia ya Jumuia hiyo kuwa ilitokana na kujiunga kwa hiari kwa nchi zilizokuwa chini ya tawala ya dol ya Uingereza na sasa hivi wigo huo umepanuliwa kuruhusu nchi kama Msumbiji kujiunga. Kwa mtzamo wako huo basi, kwa vile rais wa nchi yetu ni muislamu basi nchi yetu ni ya kiislamu! Labda ndio maana masuala ya OIC na Mahakama ya Kadhi yanapigiwa sana kelele wakati uongozi unakuwa wa kiislamu maana waislamu wanaona nchi imekuwa yao. Hiyo ndio objectivity unayoizungumzia, mkuu?

Amandla........

hahahahaha.......kwi kwi kwi kwi kwi.....matusi mengine bana....duuuhh!......Karibu tena Mkuu...usipotee sana namna hiyo Mkuu......kwi kwi kwi kwi..........
 
Fundi Mchundo,

Mkuu wangu wewe mgumu sana kuelewa. Aidha unafanya makusudi au ndio udini umekushika vibaya sana..
Unaposema hizi shule na hospital za makanisa zinahudumia watu wote una maana gani? Ya kwamba nyinginezo hazifanyi hivyo au...Labda nikuulize hivi, nambie ni shule au Hospital gani wanahudumia kundi la watu fulani tu ndio maana wametengwa.

Sasa ikiwa shule na Hospital zote nchini zinahudumia watu wote inakuwaje unazitenga hizi za makanisa kuwa muhimu zaidi na ukitumia sababu ambazo shule na Hospitali nyinginezo zinafanya hivyo hivyo?. Nenda kwa Kariuki kama utaulizwa wewe kabila gani au dini gani, kwa nini yeye asipewe fungu kama wanalopewa makanisa au yeye pia afaidike na muafaka huo wa MoU..

Au nambie kwa nini Aghakhan hakurudishiwa shule zake, Mwanza sec, Tambaza na kadhalika? au ukienda Aghakhan Hospital wanaotibiwa wahindi tu hivyo hafai kupewa fungu ama kurudishiwa shule zake ikiwa serikali ilishindwa kuzihudumia maana hizi ndizo sababu mnazotoa kuhalalisha MoU.. Nipe majibu yanayogusa swali langu na sii kupeleka kwa waislaam hivi ama vile. in question is the government decision sio Wakristu... fikiria swali langu kisha rudi na jibu..
 
Hivi ni kweli Zitto amesema au ametoa kauli hiyo kuwa "Mzee Mtei amefilisika kimawazo"?
 
Mkuu Waberoya,
Hivi wangapi kati yetu ambao kabla ya ndugu yao kufanyiwa operesheni, tunadai tupewe majina ya wahusika wote ili tuhakikishe wahusika ni wa dini yetu?
Wangapi ambao tukivamiwa tunawauliza dini wale wote ambao wanajitokeza kutusaidia ili tumjue mbaya wetu mapema?
Wangapi watakaowatoa watoto kwenye shule ambayo ina walimu kutoka dini isio yake?
Wangapi watakaokataa kibarua kwa vile tu katika wafanyakazi wenzake wako wenye dini tofauti na yake?
Au hawatapanda ndege, bajaj, dala dala au teksi inayoendeshwa na mtu wa dini nyingine?
Au wakataa kula chakula hotelini hadi wajue dini ya wapishi na watoa huduma wote?

Udini ni upuuzi. Lakini kwa vile tumefikishwa hapa na wapuuzi hao basi inatubidi tuujadili kwa undani wake ili tuwaumbue wote wanaouleta.

Amandla.....

You can say it again!!
 
Hivi ni kweli Zitto amesema au ametoa kauli hiyo kuwa "Mzee Mtei amefilisika kimawazo"?
Mwanakijiji, unauliza kitu wakati unajua fika kwamba kuna watu wanamtafuta Zitto kwa udi na uvumba, halafu tukisema kuna kitu kinaendelea CDM nyum ya pazia watu wanakuja juu na hii kitu itakula kwetu kwa sababu ya wajinga fulani..
 
.......kutumia UDINI ili ku-cover weaknesses zetu ni kitu kibaya sana........Kunyima/Kutoa haki kwa kutumia UDINI ni kitu kibaya sana...........tuendelee kuelimishana
 
ningependa kukujibu kama hivi ifuatavyo.

(1) Katika shule zilizotaifishwa na serikali, shule zilizorudishwa ni za taasisi ya Kikristu tu, shule ya Taasisi nyinginezo kama vile AgaKhan Serikali haijazirudisha- WEWE UNAZUNGUMZIA KURUDISHWA KWA HOSTELI YA TAMBAZA/ZANAKI, LAKINI NI JAMBO LILO WAZI KWAMBA HOSTELI SIYO SAWA NA SHULE NZIMA, NI VIGUMU KULINGANISHA KURUDISHWA KWA SHULE KWA TAASISI MOJA WAKATI TAASISI NYINGINE UKIWARUDISHIA HOSTELI TU, HAYA MAHASEBU HAYAPANDI.

(2) Unasema kwamba shule za Kikristu zinatoa elimu kwa watanzania wote, Labda nikukumbushe tu sababu mojawapo iliyotolewa ya kuzitaifisha shule hizi kwamba ILI KUTOA NAFASI SAWA KWA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI ZAO!- SASA SWALI NI JE kumbe basi hapo awali huduma ya shule hizi iliwalenga zaidi kuwanufaisha watu wa Imani fulani fulani, JE FALSAFA/MALENGO HAYO KWA SASA YAMEBADIRIKA?- binafsi ninaona hapana, kwa sababu shule nyingi za Kidini zinatoa priority kwa Wanafunzi wenye Muelekeo wa Imani zao. SHULE NYINGI ZA KANISA ZINA WAISLAMU KIDOGO KIDOGO SANA. Na pia shule za Kiislamu zina Wakiristo kidogo kidogo sana. KWA HIYO PALE SERIKALI INAPOINGIA MOU NA TAASISI MOJA, NI DHAHIRI INAKUWA INDIRECTLY INAWANUFAISHA WATU WA IMANI MOJA KWA MGONGO WA WENGINE KINYUME NA KATIBA YA NCHI- solution ya Suala hili siyo kuingia MOU na Kila Special Interest Group- SOLUTION INAKUWA NI KWA SERIKALI KUJENGA UWEZO WAKE BINAFSI NA KUHAKIKISHA INAKUWA NA VITU VYAKE VYENYEWE VITAKAVYOTOA HUDUMA BILA KUBAGUA KWA MISINGI YA DINI AU RANGI.

(3) Kuhusu Kupewa Kwa Chuo Cha Morogoro, Actually hiyo ilitolewa ili Kuzima kelele za Injustice ya MOU ambayo taasisi za Kikristo zilikuwa zikipewa MABILIONI YA SHILINGI huku serikali ikibweteka katika kujitafutia taasisi zake yenyewe. lakini hata hivyo thamani ya chuo hicho cha Morogoro ni MINUTE kulinganisha na MAPESA endelevu ambayo TAASISI za Kikristo zimekuwa zikipata, kabla na hata baada ya chuo hicho kupewa Waislamu. KIUFUPI HICHO CHUO KILITOLEWA ILI KUWAZIBA MIDOMO WAISLAMU ILI WATU KAMA NYINYI MJARIBU KUFICHA INJUSTICE ZA MOU YA SERIKALI NA KANISA KWA KUTOLEA MFANO CHUO HICHO.

(4) Kwa maoni yangu ni kwamba SINA TATIZO KWA KANISA KUENDESHA MASHULE YAKE NA KUWANUFAISHA WAUMINI WAKE(JAPO HUWA WANAWEKA NA WAISLAMU KIDUCHU ILI KUTAFUTA LEGITIMACY MBELE YA JAMII), TATIZO LANGU NI KWAMBA WASIMAME KWA MIGUU YAO, NA SI KWA PESA ZA UMMA WOTE.

(5) Ni kazi ya Serikali KUSIMAMA KAMA SERIKALI NA SIYO KUENDESHA NCHI KWA HISANI YA TAASISI YA YA MAKUNDI YA KIDINI AMBAYO FIRST AN FOREMOST HUDUMA ZAKE NI "WAKIRISTO FIRST THEN WAISLAMU WATAJAZILIZIA" Au " WAISLAMU FIRST THEN WAKIRISTO WATAJAZILIZIA". NAZUNGUMZIA MASHULE NA VYUO KATIKA POINTI HII.
Mkuu wangu shukran sana na ndio maana nampenda Nyerere hadi kiyama na nitamtetea kwa lolote maana aliona athari ya jambo hili. Leo hii toka Muafaka ufanyike ni miaka 20, udini umepanda moto sana na hata hii mada isingefika hapa ilipo kama sii kutokana na muafaka wa MoU.

Kama ulivyosema sababu ya kutaifisha shule ilikuwa kuondoa matabaka yetu, sasa tumeyarudisha halafu tunaanza kujadili matokeo ambayo tulishajifunza toka mkoloni. Nami binafsi siwalaumu wakristu kwa sababu aliye in question ni serikali kufikia maamuzi haya lakini wao wanajibu on behalf ya kanisa.
 
Tatizo fedha zinazotolewa kwenye taasisi za dini zinaweza kujenga hospitali za serikali.mfano bugando ina msamaha wa kodi inapewa ruzuku ya bilioni 6 kila mwaka lakini sio hospitali ya serikali kwa nini serikali badala ya ku2mia fedha hizo kujenga hospitali zake yenyewe.inatoa ruzuku kwa hospitali za dini.kibaya zaidi wafanyakazi wa serikali wanaolipwa na serikali wanaenda kufanya kazi ktk hospitali za kidini na wote mashirika ya kidini yapo kibiashara zaidi,pamoja na ruzuku,msamaha wa kodi,kulipiwa mishahara wafanyakazi,bado bei ni mkong'oto NAJIULIZA FAIDA YOTE HIYO INAMNUFAISHA NANI?MTZ WA KAWAIDA,MKRISTO WA KAWAIDA?AU NDIO RELIGION IS THE OPIUM of the people?.WAAFRIKA TUANZISHE DINI ZETU.HIZI DINI NI UKOLONI MAMBOLEO.NANI ANAKAGUA HESABU ZA FEDHA ZA WALIPA KODI ZINAZOENDA KWENYE MASHIRIKA YA DINI?
 
ningependa kukujibu kama hivi ifuatavyo.

(1) Katika shule zilizotaifishwa na serikali, shule zilizorudishwa ni za taasisi ya Kikristu tu, shule ya Taasisi nyinginezo kama vile AgaKhan Serikali haijazirudisha- WEWE UNAZUNGUMZIA KURUDISHWA KWA HOSTELI YA TAMBAZA/ZANAKI, LAKINI NI JAMBO LILO WAZI KWAMBA HOSTELI SIYO SAWA NA SHULE NZIMA, NI VIGUMU KULINGANISHA KURUDISHWA KWA SHULE KWA TAASISI MOJA WAKATI TAASISI NYINGINE UKIWARUDISHIA HOSTELI TU, HAYA MAHASEBU HAYAPANDI.

(2) Unasema kwamba shule za Kikristu zinatoa elimu kwa watanzania wote, Labda nikukumbushe tu sababu mojawapo iliyotolewa ya kuzitaifisha shule hizi kwamba ILI KUTOA NAFASI SAWA KWA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI ZAO!- SASA SWALI NI JE kumbe basi hapo awali huduma ya shule hizi iliwalenga zaidi kuwanufaisha watu wa Imani fulani fulani, JE FALSAFA/MALENGO HAYO KWA SASA YAMEBADIRIKA?- binafsi ninaona hapana, kwa sababu shule nyingi za Kidini zinatoa priority kwa Wanafunzi wenye Muelekeo wa Imani zao. SHULE NYINGI ZA KANISA ZINA WAISLAMU KIDOGO KIDOGO SANA. Na pia shule za Kiislamu zina Wakiristo kidogo kidogo sana. KWA HIYO PALE SERIKALI INAPOINGIA MOU NA TAASISI MOJA, NI DHAHIRI INAKUWA INDIRECTLY INAWANUFAISHA WATU WA IMANI MOJA KWA MGONGO WA WENGINE KINYUME NA KATIBA YA NCHI- solution ya Suala hili siyo kuingia MOU na Kila Special Interest Group- SOLUTION INAKUWA NI KWA SERIKALI KUJENGA UWEZO WAKE BINAFSI NA KUHAKIKISHA INAKUWA NA VITU VYAKE VYENYEWE VITAKAVYOTOA HUDUMA BILA KUBAGUA KWA MISINGI YA DINI AU RANGI.

(3) Kuhusu Kupewa Kwa Chuo Cha Morogoro, Actually hiyo ilitolewa ili Kuzima kelele za Injustice ya MOU ambayo taasisi za Kikristo zilikuwa zikipewa MABILIONI YA SHILINGI huku serikali ikibweteka katika kujitafutia taasisi zake yenyewe. lakini hata hivyo thamani ya chuo hicho cha Morogoro ni MINUTE kulinganisha na MAPESA endelevu ambayo TAASISI za Kikristo zimekuwa zikipata, kabla na hata baada ya chuo hicho kupewa Waislamu. KIUFUPI HICHO CHUO KILITOLEWA ILI KUWAZIBA MIDOMO WAISLAMU ILI WATU KAMA NYINYI MJARIBU KUFICHA INJUSTICE ZA MOU YA SERIKALI NA KANISA KWA KUTOLEA MFANO CHUO HICHO.

(4) Kwa maoni yangu ni kwamba SINA TATIZO KWA KANISA KUENDESHA MASHULE YAKE NA KUWANUFAISHA WAUMINI WAKE(JAPO HUWA WANAWEKA NA WAISLAMU KIDUCHU ILI KUTAFUTA LEGITIMACY MBELE YA JAMII), TATIZO LANGU NI KWAMBA WASIMAME KWA MIGUU YAO, NA SI KWA PESA ZA UMMA WOTE.

(5) Ni kazi ya Serikali KUSIMAMA KAMA SERIKALI NA SIYO KUENDESHA NCHI KWA HISANI YA TAASISI YA YA MAKUNDI YA KIDINI AMBAYO FIRST AN FOREMOST HUDUMA ZAKE NI "WAKIRISTO FIRST THEN WAISLAMU WATAJAZILIZIA" Au " WAISLAMU FIRST THEN WAKIRISTO WATAJAZILIZIA". NAZUNGUMZIA MASHULE NA VYUO KATIKA POINTI HII.

1. Hivi ni shule ngapi za wakristu na ngapi za waislamu zilitaifishwa? Tukizungumzia sekondari, mimi najua katika maeneo ya Dar es Salaam, kanisa lilikuwa na shule za sekondari zifuatazo:
a. St. Xavier ambayo ilitaifishwa ikaitwa Kibasila.
b. St.Joseph iliyogeuzwa na kuitwa Forodhani.
c. St. Andrews iliyotaifishwa na kuitwa Minaki.
d. St. Francis iliyotaifishwa na kuitwa Pugu.

Katika hizi ni Forodhani peke yake iliyorudishwa.

Waislamu mlikuwa na shule za sekondari zifuatazo:

a. Aga Khan Boys Secondary iliyotaifishwa na kuitwa Tambaza.
b. Aga Khan Girls Secondary iliyotaifishwa na kuitwa Zanaki.
c. Mzizima Secondary ambayo haikutaifishwa.
d. Kinondoni Muslim ambayo haikutaifishwa.

Ukienda Moshi, wakatoliki walikuwa na Weruweru na Ubwe. Katika hizi, ipi wamerudishiwa?

Katika hizo, ninavyojua, Zanaki amerudishiwa Aga Khan. Hapa ni nani kaonewa? Huyo aliyetaifishiwa shule 4 akarudishiwa moja au yule aliyetaifishiwa mbili akarudishiwa moja? Wewe unaesema wakristu walipendelewa, unaweza kunitajia shule ya sekondari ya kikristu ambayo haikuwa seminari ambayo haikutaifishwa?

Ukweli ni kuwa ukiangalia idadi ya shule, vyuo na hospitali zilizokuwa zikimilikiwa na kanisa ni chache ambazo wamerudishiwa.

2. Kwa vile inaelekea hii MoU imekuwa ni ishu sana kwenu basi hebu tuiweke tuone wapi mnakwazika. Hii hapa kama alivyoileta mwenzenu: https://www.jamiiforums.com/jamii-i...a-katoliki-na-taasisi-nyingine-za-kidini.html
Ukiangalia article XII inazungumzia kutaifishwa kwa shule, hospitali au chombo chochote kinachotoa huduma ya afya au/na elimu kinachomilikiwa na kanisa. Hii ilikuwa ndiyo sababu kubwa ya MoU hii, kuwalinda wale ambao waliishang'atwa na serikali wasing'atwe tena. Hayo hayo ambayo wakina Mkandara wanataka kurudia.

Article XIII ambayo imekuwa underlined inasema serikali ita-endeavour (ITAJITAHIDI) kuingiza suala la misaada kwa ajili ya institutions hizi za kanisa katika majadiliano yao na nchi zinazotufadhili haswa Ujerumani. Watajitahidi na si lazima.

Sasa nyie mnaosema kuwa MoU hii inataka serikali itoe ruzuku kwa kanisa katika utoaji wa huduma hizi, tuonyesheni article inayoelezea hivyo. Mnataja bilioni kumi bila kutuambia kwa uhakika imetoka wapi kwenye bajeti!

2. Naam, kweli shule za kikristu zitakuwa na mlengo wa kikristu kama vile ambavyo zilivyo za kiislamu. Lakini hakuna shule inayotambulika na serikali (isipokuwa zile zinazowatayarisha wahudumu wa baadae wa imani hizi) inayozuia muumini wa dini nyingine kujiunga nazo. Waislamu wengi walikataa kwenda kwenye shule za kikristu kwa sababu ya kuhofia kuwa watabadilishwa dini au uwezo mdogo wa kipesa. Pamoja na haya, ni wengi tu ambao wameelimishwa katika shule hizi bila kuathirika, rais wetu akiwa mmoja wao. Wakristu wengi hawapeleki watoto wao katika shule za kiislamu kwa wasiwasi wasi huo huo. Lakini nao kama shule hizo zina matokeo mazuri kama Feza, Al Muntazir n.k. hawachelei kuwaruhusu binti zao kuvaa hijab ili mradi wanapata elimu.

Kusingizia kuwa waislamu wanaathirika kutokana na shule hizo kurudishwa kwa wakristu ni uchimvi maana waislamu wamekuwa wakilega nyuma kielimu hata wakati karibu shule zote zilikuwa ni za serikali. Badala ya kutafuta visingizio kama hivi ( incl. kuibiwa mitihani), waislamu mnatakiwa kujiangalia wenyewe na kuhimizana kwenda shule.

Huko kubaguliwa mnakodai kunafanyika katika shule hizo za kikristu dhidi ya waislamu inabidi mtolee mifano. Au mnazungumzia seminari ambazo hata mkristu wa dhehebu lingine hapewi nafasi kwa sababu lengo ni kuelimisha watu watakaokuwa makasisi, mapadri n.k.?

3. Mnazungumzia hadithi za alinacha. Hata kama mlipewa ili kuwapooza juu ya MoU, ukweli unabaki kuwa MLIPEWA BURE. Itakuwa vyema kama mtatutolea mfano wa namna ambavyo hayo mabilioni serikali inayotoa kwa kanisa mnayoyazungumzia yamewafaidia vipi wa kristu kwa kuhudumia shule na hospitali wanazoelimishwa na kutibiwa peke yao. Tutajieni shule au hospitali moja inayopokea ruzuku hiyo ambayo inahudumia wakristu peke yao. Moja tu.

4. Waberoya amewapa mfano wa Mbagala Mission lakini hamtaki kumsikia. Au mnataka kutuambia kuwa katika maeneo yenye waislamu wengi hakuna shule au dispensari za kanisa? Hamna hata aibu!

5.Yale yale. Insinuations bila substantiation. Toa ushahidi wa shule au chuo kinachopewa ruzuku na serikali ambayo inatoa huduma zake kwa kupendelea waumini wa dini yake.

Amandla......
 
Tatizo fedha zinazotolewa kwenye taasisi za dini zinaweza kujenga hospitali za serikali.mfano bugando ina msamaha wa kodi inapewa ruzuku ya bilioni 6 kila mwaka lakini sio hospitali ya serikali kwa nini serikali badala ya ku2mia fedha hizo kujenga hospitali zake yenyewe.inatoa ruzuku kwa hospitali za dini.kibaya zaidi wafanyakazi wa serikali wanaolipwa na serikali wanaenda kufanya kazi ktk hospitali za kidini na wote mashirika ya kidini yapo kibiashara zaidi,pamoja na ruzuku,msamaha wa kodi,kulipiwa mishahara wafanyakazi,bado bei ni mkong'oto NAJIULIZA FAIDA YOTE HIYO INAMNUFAISHA NANI?MTZ WA KAWAIDA,MKRISTO WA KAWAIDA?AU NDIO RELIGION IS THE OPIUM of the people?.WAAFRIKA TUANZISHE DINI ZETU.HIZI DINI NI UKOLONI MAMBOLEO.NANI ANAKAGUA HESABU ZA FEDHA ZA WALIPA KODI ZINAZOENDA KWENYE MASHIRIKA YA DINI?

Uongo mwingine. Serikali ina share katika hospitali za Bugando na KCMC. Kwa hali hiyo inawajibika kuchangia katika uendeshaji wake. Unachozungumzia si ruzuku bali mchango wake katika uendeshaji. Unataka kutuambia hospitali za serikali zinaendeshwa kwa upepo maana pesa zote zimeenda Bugando na KCMC? Unaweza kutuambia serikali inatumia kiasi gani kuendesha Muhimbili ili tulinganishe na hizo pesa unazopigia kelele?

Labda ulizaliwa juzi lakini wengine tunakumbuka wakati serikali ilikuwa ikitoa huduma zote hizo. Na hata sasa wengi wanakimbilia kwenye hizo hospitali za kidini kutokana na uhakika wa kupata huduma. Unasema bei zao mni mkong'oto, ukilinganisha na nani? Aga Khan? Regency? Ibrahim Haji? Hivi unadhani watawalipa vipi wafanyakazi wao, watanunuaje dawa, watalipiaje umeme na maji n.k. bila kuchaji hizo bei unazoita mkong'oto? Ukweli ni kuwa katika sehemu nyingi za nchi yetu hizi hospitali ndio mkombozi pekee wa mtanzania wa kawaida.

Amandla.....
 
Fundi Mchundo,

Mkuu wangu wewe mgumu sana kuelewa. Aidha unafanya makusudi au ndio udini umekushika vibaya sana..
Unaposema hizi shule na hospital za makanisa zinahudumia watu wote una maana gani? Ya kwamba nyinginezo hazifanyi hivyo au...Labda nikuulize hivi, nambie ni shule au Hospital gani wanahudumia kundi la watu fulani tu ndio maana wametengwa.

Sasa ikiwa shule na Hospital zote nchini zinahudumia watu wote inakuwaje unazitenga hizi za makanisa kuwa muhimu zaidi na ukitumia sababu ambazo shule na Hospitali nyinginezo zinafanya hivyo hivyo?. Nenda kwa Kariuki kama utaulizwa wewe kabila gani au dini gani, kwa nini yeye asipewe fungu kama wanalopewa makanisa au yeye pia afaidike na muafaka huo wa MoU..

Au nambie kwa nini Aghakhan hakurudishiwa shule zake, Mwanza sec, Tambaza na kadhalika? au ukienda Aghakhan Hospital wanaotibiwa wahindi tu hivyo hafai kupewa fungu ama kurudishiwa shule zake ikiwa serikali ilishindwa kuzihudumia maana hizi ndizo sababu mnazotoa kuhalalisha MoU.. Nipe majibu yanayogusa swali langu na sii kupeleka kwa waislaam hivi ama vile. in question is the government decision sio Wakristu... fikiria swali langu kisha rudi na jibu..

Ni nyinyi ambao mnadai kuwa shule na hospitali za kikristu zinatoa huduma kwa upendeleo. Kama hazifanyi hivyo, tatizo lenu ni nini? Serikali imeingia ubia na kanisa katika hospitali za Bugando na KCMC. Kama mbia, inatakiwa kuchangia. Kama mbia ina haki ya kushiriki katika menejimenti wa hospitali hizo. Ndio maana madaktari wa Bugando na KCMC waliungana na wenzao wa Muhimbili wakati wa Aga Khan waliendelea na kazi. Katika hospitali ambazo serikali haimo basi shughuli iliendelea kama kawaida. Kingine mnachochanganya ni kudhani kuwa serikali inashirikiana na kanisa bila masharti (kushiriki katika menejimenti, madaktari wao kupata training n.k. Inawezekana kabisa kuwa Aga Khan kwa kutokutaka kuingiliwa wamesema thanks but no thanks. Na tusisahau kuwa hospitali za Aga Khan, Hindu Mandal, Kariuki hazijawahi kutaifishwa na serikali kwa hiyo kufanya kuwa vigumu kwa serikali kujipenyeza.

Kuhusu kurudishiwa shule Aga Khan na wengine nimeishamjibu mwenzako.

Wee mdini kweli. Utatakaje nijibu maswali yako ambayo yanawalenga wakristu bila kuwataja waislamu? Hatuko darasani hapa ambapo utanielekeza namna ya kukujibu.

Amandla.....
 
Waberoya,Fundi Mchundo,

..hizi hoja za dini siku zote huishia na mjadala wa MOU.

..nakumbuka kusoma mahali kwamba Ustaadh Ilunga Kapungu "stering" wa mihadhara ya "mfumo kristo" aliwahi kutibiwa Bugando Hospital!!

..lakini mimi nadhani haya malalamiko ya MOU mwisho wake yatasababisha vurugu nchini.

..Raisi ameshatoa offer kwa taasisi za Waislamu kukaa pamoja na serikali kuona jinsi gani na wao wanaweza kusaidiwa lakini malalamiko bado yako palepale.

..Vilevile sielewi kwanini mpaka leo hii Raisi hajali-address suala hili la MOU, ukizingatia kwamba kuna watu wanazunguka nchi nzima wakihamasisha dhidi ya MOU na "mfumo Kristo." Kwanini Raisi hawaiti wazee wa Dar-Es-Salaam na kulifafanulia taifa kwanini serikali ina mkataba wa namna hii na Taasisi za Kikristo??

..Nadhani wakati umefika kwa taasisi za Kikristo kujitoa ktk MOU na kutafuta njia nyingine ktk kutoa huduma za kijamii nchini.
 
Nakubaliana na wewe kuwa kuna haja ya serikali kama mhusika katika MoU ieleze bayana kwa nini waliingia katika hayo makubaliano na waweke wazi mchango wao kama upo katika taasisi za kikristu, kiislamu, kihindu na nyinginezo.

Kanisa kujitoa katika MoU hii itakuwa vigumu kwa sababu lengo lake ni kuhakikisha kuwa serikali haitataifisha tena shule, hospitali ambazo wamewarejeshea. Umuhimu wa kuwa na ulinzi huu unathibitishwa na hawa wakina Mkandara & Co. Mimi naamini kuwa Aga Khan hakuchangamkia kurrejeshwa shule zake kutokana na kutoamini kuwa serikali yetu itajizuia kutaifisha tena watakapozikarabati na kuzirejesha katika hali nzuri halafu wanaojiita wazawa wakaanza kudai kuwa ma********* wanyang'anywe ili nao wapate nafasi ya kuzifaidi.

MoU hii haitakuwa na maana hapo serikali na bunge lake watakapopitisha sheria kuwa haitataifisha tena shule, hospitali n.k. zilizokuwa mali ya watu binafsi na taasisi za kidini. Nje ya hapo, waache wakristu wabaki kwenye MoU. Waislamu na wengine ambao pengine watakuwa na wasi wasi huo huo wanaweza kuingia kwenye MoU zao na serikali.

Wengi wa waislamu wanaopigia kelele suala hili ni wale ambao wamejaa chuki na wakristu na kwa wao dhana yao ni heri tukose wote hata kama ulichonacho kinanifaidia mimi. Hawa, ni wale wale wanaozungumzia mfumo kristo. Hata uwaambie nini hawatabadilika.

Serikali kwa kukaa kimya kwenye suala hili ndio inazidi kupalia moto. Katika hali kama hii, ndio maana wakina Mtei wanadai ulinzi wa ziada kwa kile wanachoona ni maslahi na haki ya wakristu. Wakina Mkandara wamewastua.

Amandla......
 
nakubaliana na wewe kuwa kuna haja ya serikali kama mhusika katika mou ieleze bayana kwa nini waliingia katika hayo makubaliano na waweke wazi mchango wao kama upo katika taasisi za kikristu, kiislamu, kihindu na nyinginezo.

Kanisa kujitoa katika mou hii itakuwa vigumu kwa sababu lengo lake ni kuhakikisha kuwa serikali haitataifisha tena shule, hospitali ambazo wamewarejeshea. Umuhimu wa kuwa na ulinzi huu unathibitishwa na hawa wakina mkandara & co. Mimi naamini kuwa aga khan hakuchangamkia kurrejeshwa shule zake kutokana na kutoamini kuwa serikali yetu itajizuia kutaifisha tena watakapozikarabati na kuzirejesha katika hali nzuri halafu wanaojiita wazawa wakaanza kudai kuwa ma********* wanyang'anywe ili nao wapate nafasi ya kuzifaidi.

Mou hii haitakuwa na maana hapo serikali na bunge lake watakapopitisha sheria kuwa haitataifisha tena shule, hospitali n.k. Zilizokuwa mali ya watu binafsi na taasisi za kidini. Nje ya hapo, waache wakristu wabaki kwenye mou. Waislamu na wengine ambao pengine watakuwa na wasi wasi huo huo wanaweza kuingia kwenye mou zao na serikali.

Wengi wa waislamu wanaopigia kelele suala hili ni wale ambao wamejaa chuki na wakristu na kwa wao dhana yao ni heri tukose wote hata kama ulichonacho kinanifaidia mimi. Hawa, ni wale wale wanaozungumzia mfumo kristo. Hata uwaambie nini hawatabadilika.

Serikali kwa kukaa kimya kwenye suala hili ndio inazidi kupalia moto. Katika hali kama hii, ndio maana wakina mtei wanadai ulinzi wa ziada kwa kile wanachoona ni maslahi na haki ya wakristu. Wakina mkandara wamewastua.

amandla......

ningependa kukujibu kwa kutumia post moja ya mzee mwanakijiji katika mjadala huu unaohusisha mambo ya mou kati ya serikali na kanisa, post ambayo nakubaliana nayo kwa kiasi kikubwa: Kitu cha kwanza fahamu kabisa kwamba lawama zetu zipo kwa serikali na si kwa kanisa, kama kanisa limeweza kuishawishi serikali ivunje katiba ya nchi juu ya kutokuwa na upendeleo wa taasisi moja dhidi ya nyingine katika "biashara" lawama zinaiangukia serikali.

Mzee mwanakijiji anasema hivi ifuatavyo:

mzee mwanakijiji

huu mjadala ungeweza kabisa kuwa mzuri sana na wa kiakili kama watu wataondoa madongo ya kidini na badala yake tuangalie tu ushahidi wote uliopo na kujaribu kuangalia tufanye nini mbele. Binafsi kuna mambo ambayo kwa kweli kabisa naona ni sehemu ya tatizo zima. A

1. Serikali ilifanya makosa sana kuanza utaratibu wa kurudisha mashule na taasisi za dini ambazo zilitaifishwa na nyerere. Nyerere alipotaifisha shule na hospitali n.k alikuwa na sababu na sababu yake ni kuhakikisha kuwa kunakuwa na nafasisawa zaidi za watu kupata elimu na hata ajira n.k inawezekana labda kuna taasisi fulani zingetaifishwa lakini ninaamini ulikuwa ni uamuzi sawasawa. Kwa serikali kurudisha shule kwa mashirika ya dini kimsingi ni kurudisha status quo ya 1967 na ambayo kimsingi iliwapendelea wakristu. Lakini kurudisha status quo ya 1967 ni kurudisha status quo ya 1958 ambayo iliwapendelea wakristu. Kurudisha statuq quo ya 1958 ni kurudisha status quo ya 1940s ambayo iliwapendelea wakristu. Binafsi naamini kwa hili serikali imeenda kinyume kabisa na lengo la kuleta usawa zaidi.

2. Uamuzi huo wa kurudisha mashule na hospitali kwenye taasisi za kidini ulivyofanya na serikali umekuwa na matokeo yake yale yale ambayo yangeweza kutabirika. Taasisi za makanisa za elimu na afya ni nyingi zaidi kuliko zile za misikiti au taasisi za kiislamu. na uchunguzi mwingine unaonesha kuwa idadi ya wanafunzi wa kikristu kwenye shule za kiislamu ni kubwa zaidi kuliko idadi ya wanafunzi wa kiislamu kwenye shule za kikristu kitu ambacho bado kinaendeleza ile ile status quo.

Haya mawili yanalazimisha kujiuliza ni njia gani basi inafaa kuanglaia hili la imbalance katika fob initiatives nchini?

1. Radical secularism?
Kuna watu wengi ambao hawataki fedha ziende kwenye huduma za kijamii kupitia taasisi na hasa kwenda kwa njia ya makanisa - kama mou inavyoonesha. Hii ni hoja nzuri lakini ni lazim iende kwenye hitimisho lake. Aidha serikali iwe tayari kutoa ruzuku kwa taasisi nyingine za kidini na kwa uwiano unaoendana na shughuli za taasisi hizo au ijitoe kabisa ili kutoonesha kupendelea dini moja au dhehebu moja. Kwenye nchi ambapo makanisa yana shule nyingi na hospitali nyingi ni wazi - haiitaji sayansi ya fizikia kuliona - fedha nyingi zitaenda kwenye taasisi hizo kama inakubaliwa kuendelea na mfumo huu. Njia pekee ni aidha serikali itaifishe na ihudumie taasisi hizo yenyewe na kuzifanya za umma kitu ambacho kitarudisha madai yale yale. Lakini haiwezi kufanya hivyo kwa dini moja bila kufanya kwa dini nyingine. Njia nyingine ni kuwa serikali iseme tu kuwa inajitoa kabisa katika kuchangia moja kwa moja katika gharama za taasisi za kidini zinazotoa huduma ya kijamii. Kila taasisi ijitegemea kabisa kutafuta misaada yake na kujiendesha bila kutegemea serikali kabisa. je uamuzi huo utamnufaisha nani hasa katika nchi ambayo tayari makanisa yako mbele katika utoaji wa hizo huduma?

2. Affirmative action
kwa vile tayari tunajua kuwa kuna imbalance hii ambayo is historical in nature je ipo haja ya kuanzisha programu ya upendeleo maalum kwa waislamu ili kuongeza idadi ya taasisi zao na wanafunzi katika shule mbalimbali? Je, upendeleo wa namna hiyo unakuwaje kwenye maeneo sema kwa mfeano yenye waislamu wengi tayari au yale yenye waislamu wachache? Na katika kutoa upendeleo huo ni taasisi gani za kiislamu zitakuwa zinahusishwa? Je, ukija na affirmative action unafanya vipi katika ajira kwa mfano ambapo watu wenye elimu sawa na uzoefu sawa wanaomba kazi? Je muislamu apewe nafasi hiyo based on affirmative principle? Na utajuaje kama kiwango cha parity kimefikiwa? Je hii affirmative inahusiana vipi na minority groups? Kwa mfano wahindi, waharabu na baadhi ya makabila nchini yako under-represented katika taasisi mbalimbali za umma je tuna recruit vipi? Inakuwaja kama makabila hayo ni predominantly christian au traditionalist? Na ukianzisha affirmative action itaendelea kwa muda gani kwani haiwezi kuendelea indefinitely.

Lakini tatizo la affirmative action kama ilivyo kwenye baadhi ya nchi ni kuwa matokeo yake yasiyotakiwa ni reverse discrimanation. Kwa mfano, ukianza kuonesha upendeleo wa pekee wa waislamu au watu wa eneo fulani siyo kwamba utaanza kubagua watu wengine huku ukidai kuwa unajaribu kuondoa ubaguzi mwingine? Kwa mfano, ukisema wakristu wasiajiriwe mahali fulani kwamba kiwango hao kimezidi au wachagga wasiajliwe siyo kwamba utakuwa unawabagua wakristu na wachagga? Unaweza vipi kuoanisha basi dhana yako ya kuondoa ubaguzi kwa kutumia ubaguzi mwingine?

Hapa ndipo tunaitwa kutumia uwezo wwetu wa kufikiria na kuona ni jinsi gani tunataka kujenga jamii ya watu walio huru na sawa, wasioonewa au kuonea wengine? Ni vipi tunaweza kujenga jamii ambayo hakuna mtu anayejiona duni au kufanywa duni na watu wengine kwa sababu ya rangi, kabila, au dini yake?

Source: https://www.jamiiforums.com/jamii-i...atoliki-na-taasisi-nyingine-za-kidini-36.html

nadhani mwanakijiji amekuwa objective na ameweka mambo mengi into perspective katika suala hili:
 
Hivi ni kweli Zitto amesema au ametoa kauli hiyo kuwa "Mzee Mtei amefilisika kimawazo"?

Rais alipoongea na waislam mwaka jana aliwashauri watengeneze MOU na serikali na wasilalamike. Hata hivyo, sioni sababu ya waislam kulalamika. Watafute au waanzishe hizo hosp then waende huko serikalini kupat a msaada. Ugumu wake ni kwamba wenzao huwa hawaweki kambi zao mijini. Wanakwenda vijijini haswaa na ndiyo maana hata serikali inabidi isikatae kutoa ruzuku kwa hosp zao. Mfano, Hanang, Waso (Loliondo) TENA HAPA HATA WALE WAARABU WALITOA MAGARI NA kukarabati majengo ya yote ikiwemo na kujenga hostel mpya. Na mkuru hufikiaga hapo., nyie mmebaki kupiga makerere mjini. Mnataka serikali ifanyeje? Na msifikiri wamissionary wanapata faida hata. Ni huduma tu. Hizo hela ni kwa ajili ya kusaidia mambo machache sana kwa ajili ya watanzania.
 
rais alipoongea na waislam mwaka jana aliwashauri watengeneze mou na serikali na wasilalamike. Hata hivyo, sioni sababu ya waislam kulalamika. Watafute au waanzishe hizo hosp then waende huko serikalini kupat a msaada. Ugumu wake ni kwamba wenzao huwa hawaweki kambi zao mijini. Wanakwenda vijijini haswaa na ndiyo maana hata serikali inabidi isikatae kutoa ruzuku kwa hosp zao. Mfano, hanang, waso (loliondo) tena hapa hata wale waarabu walitoa magari na kukarabati majengo ya yote ikiwemo na kujenga hostel mpya. Na mkuru hufikiaga hapo., nyie mmebaki kupiga makerere mjini. Mnataka serikali ifanyeje? Na msifikiri wamissionary wanapata faida hata. Ni huduma tu. Hizo hela ni kwa ajili ya kusaidia mambo machache sana kwa ajili ya watanzania.

dawa siyo kila kundi kutengeneza mou yake, dawa ni kwa serikali kuhakikisha inatumia mabilioni yake inayotoa kwa taasisi za kanisa na kutumia pesa hizo kuimarisha hospitali zake, huku ikiendelea kujenga zahanati zake kwa wingi. Kwa kuwa kanisa linafanya biashara, basi waache waendelee na biashara zao, wananchi wataamua wakatibiwe wapi, maana pamoja na ruzuku bei ya huduma zao hazina tofauti sana na hospitali nyingine zisizokatiwa fungu kutoka serikalini.

Kabla ya mou kwani watanzania walikuwa wakitibiwa wapi?-

KIPINDI CHA UCHAGUZI MKUU WAKATI MAASKOFU WAMEMKALIA KOONI JK, JK MWENYEWE ALISEMA KWAMBA TANGU AINGIE MADARAKANI AMESHAZIPATIA TAASISI ZA KANISA TAKRIBAN SHILINGI BILLIONI 600. sasa kama JK peke yake ametoa hizo, vipi kipindi cha Awamu ya Ben, Vipi kipindi cha awamu ya mzee Ruksa?- HAYO MAPESA YOTE SERIKALI INGEKUWA IMEJENGA HOSPITALI NGAPI ZA KIWANGO CHA HOSPITALI YA WILAYA?.
 
ningependa kukujibu kwa kutumia post moja ya mzee mwanakijiji katika mjadala huu unaohusisha mambo ya mou kati ya serikali na kanisa, post ambayo nakubaliana nayo kwa kiasi kikubwa: Kitu cha kwanza fahamu kabisa kwamba lawama zetu zipo kwa serikali na si kwa kanisa, kama kanisa limeweza kuishawishi serikali ivunje katiba ya nchi juu ya kutokuwa na upendeleo wa taasisi moja dhidi ya nyingine katika "biashara" lawama zinaiangukia serikali.

Mzee mwanakijiji anasema hivi ifuatavyo:

nadhani mwanakijiji amekuwa objective na ameweka mambo mengi into perspective katika suala hili:

Asante kwa Mwanakijiji, nadhani umemuelewa

mueleweshe na Mkandara sasa...kosa lisiendelee kufanyika

lets stop these discussions
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom