Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
akiponye kinini tena,au unadhani wamempiga kwenye nyeti?Pole sana !
Sister Mungu akiponye haraka.
akiponye kinini tena,au unadhani wamempiga kwenye nyeti?Pole sana !
Sister Mungu akiponye haraka.
Mubona matukio kama hayo yalikuwepo kabla ya amri hiyo uisemayo?
Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawala na kumuumiza. punde nitawawekea picha. Ni tukio la kusikitisha sana.
ni mtawa si mtawala.Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawala Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
chanzo: mwandishi wetu wa Zanzibar
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawala Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
chanzo: mwandishi wetu wa Zanzibar
wanatekeleza maagizo ya sheikh ponda. bila shaka lipumba analifahamu hili vyema.
ITakuwa vibaya sana kama polisi yule wa Zanzibar atatoa majibu kama yale alipopigwa risasi Padre Mkenda
Hakika siku za kuvunjika kwa muungano wa tanganyika na zanzibar kutaambatana na matukio mengi ya kutisha na kuogofya kama :Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawala Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
chanzo: mwandishi wetu wa Zanzibar
Suluhu ya udini Tanzania ni kuchora mstari tu! Hata siku moja YESU hajawahi kuitwa Issa, ila upande wa pili wanang'ang'ania kweli. Hawaridhiki na Mohd na Issa wao wanataka na YESU KRISTO! Majanga
Hivi Ust.Ilunga kapungu alisema nini kweli?
umeona ponda tu nani katoa amri ya pinga tu?