Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Wewe mjing..a acha kuongea hovyo!
Utafikiri umezaliwa siku si zako!

Never argue with a fool pal! Hiyo ya kujilipuwa siku hizi wengie waliacha kabaki yeye na akili zake! Wenzie walishabadirika baada ya kujua isha buma na wakaanza slogan ya kuwa walikuwa wanasitisha dhana ya nchi kutotawalika yeye kabaki na hiyo ya vichaa! usimjibu mtu kama huyo!
 
wanatekeleza maagizo ya shehe ilunga gaidi la kimataifa...
hawa wangese tumevumilia sana fujo zao inatosha
 
Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawala na kumuumiza. punde nitawawekea picha. Ni tukio la kusikitisha sana.

Kama ni kweli hilo ni suala la aibu sana kwetu Watanzania na imani husika. Hili halina tofauti na lile tukio la Mbagala ambapo Makanisa yalivamiwa ati kwa kuwa mtoto alikojolea Quran.

Yaani imefikia wakati watu wanakutegea ufanye kosa dogo ili wapate uhalali wa kutekeleza mafundisho potofu ya kidini.

Serikali imelea sana upuuzi wa aina hii kwa muda mrefu sasa inakuwa vigumu kuung'oa.
 
‘They surely are infidels who say that God is the third of the three’
[Quran 5:73] and urged them to ‘believe therefore in Allah and His messengers, and say not, Three (Gods)’
[Quran 4:171] Sahih Bukhari: Vol 9, Book 84, No 64: So, wherever you find them [Unbelievers/non-Muslims], kill them, for whoever kills them shall have reward on the Day of Resurrection Then, when the sacredmonths have passed, slay the idolaters wherever ye find them, and take them (captive), and besiege them, andprepare for them each ambush. But if they repent and establish worship and pay the poor due, then leave their way free’(verse9:5)‘ verse 9:29 (revealed in 631): ‘Fight those who believe not in Allah, nor the Last Day, nor hold that
forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth
[Islam], (even if they are) of the People of the Book [Jews & Christians], until they pay the Jizya with willing
submission, and feel themselves subdued.’ Hakuna ambalo shkhe ponda halijui hapo, ni mafundisho ndani ya quran kupigania uislam kwa kuteketeza dini nyingine wenzetu (waislam) huuwa haonyeshi haya hizi zipo nyingi sana kwenye korani,
DINI SIO TIMU YA MPIRA KWAMBA IKIKOSA WASHABIKI ITAKOSA UDHAMINI KATIKA DINI HATA MUUMINI ABAKI MMOJA ITAENDELEA KUWEPO KWANI INASIMAMIA UKWELI NA MUNGU IMANI HAINA USHANDANI WA KUONGEZA MASHABIKI
 
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawala Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.

chanzo: mwandishi wetu wa Zanzibar

kuna watu huwa nawashangaa sana katika dunia hii na hasa tanzania hii,hivi huyo mungu wenu mnaemtumikia mnadhani hajui tofauti za imani zetu?hivi mnadhani alivyotuumba hivi alikosea?hivi huwa hata hamjiuliza kwanini alituweka katika makabila tofauti?huyu akawa mzaramo na huyu mkurya au huyu mchaga na huyu mpogoro?kwani alisema kuna kabila la mtu ambalo ni bora kuliko la mwenzie?kwa kutumia mfano huu hivi hamjiulizi kwanini hakutuumba wote wa imani moja?binafsi naona huu ni ulimbukeni na kutokumjua Mungu.pole sana mtawa,wasamehe na uwaombe kwa Mungu awaguse ili waijue ile kweli iliyoko ndani yake
 
Wakuu hivi kama simamo wazanzibar ni kuwachukia eakristu na hata ikibidi eaondoke ZNZ,ni ikaendelea hivyo kwa kuwakataa kupitia kuwadhuru na wakati mwingine kuwaua,je hali hii tutaimalizaje kama si kuwaachia nchi yao?
 
Wazanzibar watu waajabu sana , sasa Mtawa kawadhulu nini wao ?

juzi watetezi wa matendo maovu walitujuza humu kuwa wale Wazungu waliomwagiwa Tindikali walikuwa wamevaa nusu uchi hivyo kwakua ilikua mwezi wa Ramadhan wakamuadhibu.

wale watetezi wa uovu waje tena watujuze kuwa na watawa wanavaaga nusu uchi ? UJINGA, UHAYAWANI NA UZEZETA UNAWASUMBUA
 
Hakuna haja ya kulikuza sana jambo hili. ... Wakristo na Waislamu ni ndugu. Acha sheria ichukue mkondo wake
 
Nasisitiza hakuna nnchi inatwa Zanzibar ni eneo la Tanganyika, tuko tayari kulinda mipaka yetu jeshi husema hivyo, mipaka ni pamoja na eneo la Zanzibar ambayo imo kwenye bahari ya Tanganyika, zAnzibar na Mwanza ni sawa tu na Arusha.
 
nchi hii ni DHAIFU sana.. yoote haya ni mafundisho ya MAGAIDI WA UAMSHO NA SHEHE ILUNGA HASSANA KAPUNGU
 
Khaa!! wewe akili yako fupi sana. Wapi kwenye hiyo habari wamesema amepigwa na wafuasi wa dini fulani? wenye kumfuata mtume fulani? kwanini usifikirie ni vibaka wa kawaida kwanza ndiyo waliotenda uhalifu huo? Usikurupuke bana :bored:

Umenena vizuri Mkuu, maana kuna wengine wana chuki binafsi na udini uliopitiliza. Mbona kuna tetesi kwamba waliompiga huyo mtawa ni Wakatoliki wenziwe.
 
hata itokeeje hakuna mtu atakayechukuliwa hatua. Sasa agushwe muislamu uone moto wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom