Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Hata ya zamani yalihalalishwaYalikuwepo lakin sio kama sasa kuhalalishwa
Hata ya zamani yalihalalishwaYalikuwepo lakin sio kama sasa kuhalalishwa
Huata ya zamani yalihalalishwa
Ndio mafundisho ya mtume wao!
Mhariri hiyo blue umeiona? Ingia edit post bas mtu wangu.
Hakika siku za kuvunjika kwa muungano wa tanganyika na zanzibar kutaambatana na matukio mengi ya kutisha na kuogofya kama :
1..kuuwawa baadhi ya watu :target:,
2..kumwagiwa tindikali 😛ainkiller::tea: ,
3..kupigwa na vitu vyenye ncha kali :fencing:, :laser:
4..mihadhara ya kichochezi na kuruga amani:director:😛eace: :argue:
5.. kusakwa kwa baadhi ya watu kwa udi na uvumba( hooks or crooks) 😛lane::shetani:
6...mengineyo mengi yenye sura na wajihi kama huo. :lock1:
Nimeipenda elimu picha.
Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawala na kumuumiza. punde nitawawekea picha. Ni tukio la kusikitisha sana.
Khaa!! wewe akili yako fupi sana. Wapi kwenye hiyo habari wamesema amepigwa na wafuasi wa dini fulani? wenye kumfuata mtume fulani? kwanini usifikirie ni vibaka wa kawaida kwanza ndiyo waliotenda uhalifu huo? Usikurupuke bana :bored:Ndio mafundisho ya mtume wao!
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawala Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
chanzo: mwandishi wetu wa Zanzibar
Tafsiri ipi potofu? Kama walijiripua wenyewe pale soweto,hayo mengine yanashindikana vipi?
Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawala na kumuumiza. punde nitawawekea picha. Ni tukio la kusikitisha sana.
wanatekeleza maagizo ya sheikh ponda. bila shaka lipumba analifahamu hili vyema.